Tatizo kwa upande wa kikiristo mko tofauti katika ibada na siku za kuabudu,kwa waislamu ibada zao hazitofautiani,,kwa madhehebu yote ya kiislamu,na hata wakisafiri kwenda hija,waislsmu wote wanakwenda mji mmoja wa Saud Arabia.
Ibada za kikristo,wapo wanaolia wakati wa ibada,wapo wanaopiga makofi,wapo wanaopiga vinada,wapo wanaoweka picha ya Bikira Mariya,na kumuomba ndani ya kanisa,wapo ambao hawakubaliani na sanamu ya Bikira Mariya,au Sanamu ya Yesu au picha.Hata vitabu vitakatifu vya Biblia viko tofauti,kwa madhehebu tofauti.Kwa hiyo inqbidi kujengwe makanisa tofauti ya madhehebu tofauti.Hata muelekeo wa kufanya ibada,waislamu wote kuanzia mavazi mpaka kufanya ibada wanafanana.