Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika karne hii serikali inakumbayia mambo ya kioumbavu kabisa halafu ndiyo watu watarajie nchi kuja kusonga mbele?
Kwa sababu wanajidekeza na hawakawii kuzira na kutupa mawe.Waislam wanawekewa sehemu za kuswalia sehemu nyingi tu sio hapa Tanzania tu.
Mfano
Our Chapel and Prayer Room | London Gatwick Airport
We welcome people of all faiths in our chapel and prayer rooms. Join us to pray or even just have a moment of reflection, open 24 hours a day.www.gatwickairport.com
Multi-Faith Prayer Rooms - London Luton Airport
Prayer rooms are located both landside and airside at London Luton Airport, offering a quiet spiritual place for those in need. Find out where they are.www.london-luton.co.uk
![]()
Multi-faith prayer rooms
The Heathrow Multi Faith Chaplaincy supports staff and passengers of all faiths and those of nonewww.heathrow.com
![]()
John F Kennedy International, New-york | Halal Trip
John F Kennedy International, New-york, Usa guide for Muslim Travellers. Find out whether the Airport has Halal food and prayer places.www.halaltrip.com
Prayer Facilities
Terminal 4 has dedicated prayer rooms for major faiths. The Muslim Prayer room is well maintained with seperate areas for males and females. However for wudhu, you have to use the common washrooms which are not very wudhu friendly. From whatever terminal, you can take the inter-terminal train to Terminal 4, which only takes 5 minutes.
The prayer room is located near the Emirates check-in counter. It is located in the public area, if you are departing from JFK, then you should pray before going through the immigration control. Jumu'ah prayer is performed here as well.
Another prayer room is located in Terminal 1 Back left corner of 2nd floor(departures)
Hizo ni nchi za kimagharibi ambazo nadhani unakubali zimesonga mbele.
Saudi Airlines wameweka sehemu za kuswali kabisa katika ndege zao na Etihad Airways wameweka sehemu za kuswali katika baadhi ya ndege zao. Kama ni maendeleo kwa tafsiri yako hao wanayo kuliko nchi unayotokea.
Natumai wenzao wataiga hili pia Akipenda Allah
Dini nyingine tumeanza lini kuabudu safarini, wenzetu walianza kitambo mpaka kwenye vituo vya mafuta1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Uislam umeingia hapa Afrika Mashariki kabla ya ukristo kwa zaidi ya miaka 1000 nadhani unajua hili. Kalenda ya Miladia imeanza kutumika rasmi hapa kwetu lini?Uislamu ulikuta miundo hiyo ipo tayari inatumika kikalenda.Kama inakera,ombi liwekwe irekebishwe.
Na Jf piaNa kazini pia
Basi zisijengwe nyumba za ibada za dini yoyote Airport.Tatizo la ukristo utajenga makanisa mangapi? Mana ukijenga la roma wafuasi wa mwamposa watakuja juu, ukijenga la mwamposa wafuasi wa kiboko ya wachawi nao watamaindi,, Uzuri wa uislam ibada ni moja na utaratibu ni huo huo dunia nzima so awe mchina, mndengereko, mzungu utaribu ni huo huo ndo mana inakuwa raisi kuweka msikiti kwa upande wa waislam, yani kwa faida yenu tu msiojua mnavyosikia Shia na sunni basi mjue ibada ni ile ile tu hakuna anaeswali nyakati kumi isipokuwa swala ni tano vipindi vile vile na utarabu ni ule ule dunia nzima,,, karibu ninapoishi kuna kanisa, ila rafiki yangu mkristo ye hasali apa anaenda mbali, nilipomuuliza akasema ye kaokoka lile kanisa la pale karibu hawajaokoka,, sasa hayo makanisa apo Airport utajenga mangapi,,,,
Narudia tena. Katika Uislam kuna Swala ambazo ni LAZIMA kuziswali.. Swala tano za Faradhi ni Lazima kuswali. Swala tano ni LAZIMA kuziswali.Ungejibu swali nililokuuliza ndiyo ungepata jibu na kuacha kujikwezakweza bila ukuu wowote.Dini yoyote bila kusali itakuaje sasa?Kukariri na kueleza kwamba wanasali jumapili tu huko ni kujidanganya kabisa.Nimekupa na maelezo ya RC kusali zaidi hata ya mara tano kwa siku pamoja na rosari kila muda.Sijui ulisoma ukaelewa au?
Ni sawa pia kama mapumziko yataondolewa siku za eid na maulidUnaonaje tukaondoa mapumziko Jumamosi na Jumapili? Unaonaje tukaondoa likizo Krismasi na mwaka mpya wa miladia na likizo ya pasaka? Nyie watu kuweni wavumilivu. Tuishi kwa amani na kuvumiliana. Huwa mnawasema Waislam sana kuwa wana chuki na nyinyi ndio mna upendo kuliko watu wote ila ndio mnaongoza kwa chuki zisizo msingi. Hivi Waislam wakianza kuleta nongwa za ajabu ajabu itakuwaje?
Na sie waabudu mizimu sehemu yetu ya KUABUDU iwepo pia1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Ya Wahindu.Dini ipi imesahaulika?
Kwa hiyo unataka Jumapili ukasali Airport?1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Tapeli, muhuni na mfinyu wa fikra wewe ajuzaHakuna dini nyingine, dini ni moja tu, Uislam.
Uliwahi kua mkristo au kua wa dini nyingine zaidi ya uislamu?Kama haujawahi,nini kinakuelekeza kwamba kwenye uislamu ndiyo kuna ulazima zaidi wa kusali kuliko dini zingine?Acha upotofu.Narudia tena. Katika Uislam kuna Swala ambazo ni LAZIMA kuziswali.. Swala tano za Faradhi ni Lazima kuswali. Swala tano ni LAZIMA kuziswali.
Wakatoliki nao kwao hizo sala zao ni lazima? Ni nguzo katika nguzo za dini yao?
Tusilazimishe tu kulinganisha.
Kuna tofauti kubwa namna ya kusali baina ya wakristo na waislam.Nyie mnailalamika kijinga, kwani. Mliingia kusali msikitini mkakataliwa au mkashindwa kusali?
Nadhani acha ubishi mahitaji ya dini hizi ni tofauti kabisa sasa usilazimishe jambo ya kafanana. Mkristo hata akikosa misa haambiwi kwa imani kama katenda dhambi waislamu unaambiwa usikose swala na sio kukosa swala kwa muda wake ufanye ibada. Tusitake kila kitu kifanane kama ushindani wa Simba na Yanga.Unazijua sala za masfu na sala za saa sita mchana na za jioni?Jiboreshee ufahamu.
Utaachwa na ndege ndugu yangu! Kuna misa ya dakika 5 kwani?Jumapili na Jumamosi watu hawasafiri?
Uislamu kuingia E Africa hiyo miaka(kwa madai yako)ndiyo yamefuta ukweli kwamba Ukristo ulianza kabla ya Uislamu?Uislam umeingia hapa Afrika Mashariki kabla ya ukristo kwa zaidi ya miaka 1000 nadhani unajua hili. Kalenda ya Miladia imeanza kutumika rasmi hapa kwetu lini?
Acheni ligi