KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Quran yenyewe ina kili kabisa kuwa yesu(Issa bin mariam) ndiye nabii pekee mwenye nguvu na miujiza na hato kuja kutokea kama yeye, halafu watu wamekaa wanaamini mtume wao mohammad mbakaji wa vitoto vidogo na muuaji eti ndiye tegemeo lao la kuwapeleka peponi, hapa lazima uwe kichaa kwanza ndio uwe mfuasi wa huyo bwana mohammad🤣🤣🤣
Umesikia Muhammad ndiyo atahukumu watu siku ya hukumu?
 
Quran yenyewe ina kili kabisa kuwa yesu(Issa bin mariam) ndiye nabii pekee mwenye nguvu na miujiza na hato kuja kutokea kama yeye, halafu watu wamekaa wanaamini mtume wao mohammad mbakaji wa vitoto vidogo na muuaji eti ndiye tegemeo lao la kuwapeleka peponi, hapa lazima uwe kichaa kwanza ndio uwe mfuasi wa huyo bwana mohammad🤣🤣🤣
"ina kili" ndiyo nini?
 
Mwite kwa jina lolote zuri upendalo, mradi usimfananishe na chochote.
Mimi nimechagua Jehovah na simfananishi na kitu chochote,
Vigezo vingine vya dini ya kweli ni vipi?
 
W
Usipende kila ujinga,Mkristo akiingia na viatu hapo na wewe utaingia badae.

Hizi dini kwa taratibu zake huwa hazisaliki ndani ye jengo moja katu
Wakitoka wakristo panapigwa deki linatandikwa zulia tunaswali,je kuna shida?
 
Usipende kila ujinga,Mkristo akiingia na viatu hapo na wewe utaingia badae.

Hizi dini kwa taratibu zake huwa hazisaliki ndani ye jengo moja katu

Waislamu hawajuzuiwa kusali na viatu jifunze vizuri dini yao.

Pili waislamu kwenye ishu ya sala zao wako flexible wanaweza kuja na miswala yao "take away", anaukunjua anaswali akimaliza anakunja anaondoka nao
 
W

Wakitoka wakristo panapigwa deki linatandikwa zulia tunaswali,je kuna shida?
Unaongea kwanza uelewe mkristo hana muda maalumu wa kusali,any time.Vipi akija mida ya saa 7 Au saa 10 Au muda wa wowote wenu wa kuswali.

Yatatokea maafa sababu mmoja anaonekana hana uvumilivu.
 
Unaongea kwanza uelewe mkristo hana muda maalumu wa kusali,any time.Vipi akija mida ya saa 7 Au saa 10 Au muda wa wowote wenu wa kuswali.

Yatatokea maafa sababu mmoja anaonekana hana uvumilivu.
Ndio tunarudi pale pale nyie hamna haja ya kutengewa chumba cha kusali kwakuwa hamna utaratibu huo

Wakati mwingine tuwe wakweli tu

Asante
 
Ndio tunarudi pale pale nyie hamna haja ya kutengewa chumba cha kusali kwakuwa hamna utaratibu huo

Wakati mwingine tuwe wakweli tu

AsanteRej
Kwakristo popote penye utulivu tunasali.Acheni hawa wenzetu wenye uhitaji wa kunawa na kutawaza wajengewe

Wakristo ni wavumilivu
Rejea hapa nilisema hili tangu jana Etugrul Bey . Sisi popote utunasali Hatuna haja ya kupata udhu wala kutawaza
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Kwani ndani ya uzio wa uwanja wa ndege kuna Msikiti! au unazungumzia ule wa nje upande wa pili wa barabara!?kama ni ule wa nje basi sio mali ya mamlaka ya airport.
 
Yesu aliwakuta watu wamebeba dini ya Kiyahudi na wakiamini Hekalu ndiyo Mambo yote.Akawatoa kwene huo ujinga na ushetani.Bahati mbaya Mtume Mohamed anakwenda Jerusalem Miaka 600 baadaye akitumwa na Mshangazi wake akabeba huo ujinga.Kwa ufupi kabisa Mungu anaabudiwa kila Mahali na Kila Wakati.Huwezi kusubiri Serikali ikupangie wapi unaabudu na lini unaabudu.Watu wa dini ndiyo wanapangiwa na Kupewa na Masaa na Kengele Juu.Wengine wanasubiri Mtu apige kelele Kwa horn speakers.Ushajiuliza Ibrahim alihitaji Kengele au Horn speakers ndiyo Asali?Wana wa Israel Jangwani walipigiwa Kengele?Waacheni watu wa dini wapangiwe.Ndiyo maana Nchi nyingi za Kiarabu Majengo ya Kanisa na Msikiti yapo conjoined.Hapo watu wa dini washakibaliana.Tafuta kumwabudu Mungu.Tafuta kuwa na Imani.Hata babu zako walikuwa na Imani na hawakuhitaji Majengo maalum.
 
Unapenda waende kinyonge na mabakuli wakaombe misaada kwa waarabu?
Wasioenda kanisani j2 huenda kinyonge na mabakuli kuomba kwa waarabu!?...jumapili kanisani ni mtoko tu wa weekend hakuna ibada,mkifika mnakaa kwenye mabenchi, MC (Padre,mchungaji,askofu) anapafom kule mbele,mara moja moja akiwanyanyua na kuwakalisha,kula mikate midogo rudi nyumbani,kama hafla ya kisiasa tu,rais mtasimama,sikiliza ondoka
 
Ondoa habari za ibada kwenye sehemu za kiserikali.

Ukitaka ibada jenga nje ya sehemu za kiserikali.

Ukiweka sehemu za ibada kwenye majengo ya kiserikali, hutamaliza migogoro ya watu fulani kujiona wametengwa.
 
Ni mahitaji maalumu,kama walemavu tu,huwezi sema pasiwe na miundombinu ya walemavu kwenye majengo ya serikali
 
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Chumba kimoja kidogo na Bible na viti tosha kabisa
Duniani sehemu nyingi nimetembea na kuna sehemu za kusali na kwa waislam pia kuna mpaka vyoo tofauti
Heathrow Airport kuna multi-faith room terminal 4
Na kuna airport niliona pia chumba kimoja na wanasali wote kuna Bible, Quran
 
Ni mahitaji maalumu,kama walemavu tu,huwezi sema pasiwe na miundombinu ya walemavu kwenye majengo ya serikali

Ulemavu ni nini?

Kipi kinafanya ulemavu uwe ni mahitaji maalum?

Kwa hiyo unataka kusema dini ni ulemavu wa akili?
 
Back
Top Bottom