Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

KiTETO na babati ni wilaya mbili tofauti mkuu
 
UTAPELI
 
Mnasomeaga ujinga huko shule? Kama huwezi kutofautisha maeneo madogo hivyo ulisoma nini huko shule?
Wewe ndio kilaza kwasababu hata hiyo sentensi yako pia inamakosa kiuandishi.
❌Mnasomeaga ujinga huko shule?
✔️Mnasomeaga ujinga huko shuleni?
Hujui kazi ya kielelezi kilaza wewe.
Hayo makosa ya kawaida unaacha unachangia uzi mambo mengine yanaendelea bata wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…