Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Mi mwanaume mkuuwewe ni Me au Ke? tuanzie hapo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwanaume mkuuwewe ni Me au Ke? tuanzie hapo kwanza
kama wakiume hongera Mungu akubariki!Mi mwanaume mkuu
We ndiye fara umesema Kiteto Babati! Ng'ombe weweWe fara umeelewa ipo Manyara
KiTETO na babati ni wilaya mbili tofauti mkuuHabari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea haraka sana.
2. Ifakara +Kilombero
Kwa fursa za kilimo haswa mpunga na Miwa basi huku panafaa sana kwa vijana .
3. Kiteto Babati
Hii sehemu nayo kwa kilimo ipo vyedi sana ardhi yake haina usaliti kabisa, kijana ukifunga zipu huku dhidi ya watoto wa kiiraq basi unasiama vyema kabisa.
4. Lindi (Ufuta)
Yeah kusini haswa Lindi na mtwara kiasi Ardhi yake inakubali sana ufuta na uzuri wa ufuta unalima msimu kwa msimu so kama mtu upo Dar una mishe mishe zako unaweza kujaribu pia hii maana Dar to Lindi sio mbali.
NB: Bila nidhamu ya pesa Vijana hata ukatafute pesa Wapi hutoona faida, wanasena pesa inapenda kukaa sehemu kwenye pesa.
Embu ongezeeni sehemu nyingine wakuu...
Mnasomeaga ujinga huko shule? Kama huwezi kutofautisha maeneo madogo hivyo ulisoma nini huko shule?Kikubwa ulielewa kilaza mjuaji wewe.
UTAPELIKijana duniani tunaishi mara moja tu tumia fursa hii adimu kujiunga na taasisi yenye nguvu duniani Freemasonry.
Je una miaka 25 - 45
Una kazi binafsi au kipaji binafsi
Upo tayari kumwaga damu ya mbuzi kama kiapo.
Utapewa mtaji wa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
Karibuni vijana mchangamkie fursa.
View attachment 3064641
Wewe ndio kilaza kwasababu hata hiyo sentensi yako pia inamakosa kiuandishi.Mnasomeaga ujinga huko shule? Kama huwezi kutofautisha maeneo madogo hivyo ulisoma nini huko shule?