Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Kuna saluni inaitwa bahari barbershop Kuna totoz pale nikiwa na magenye naendaga tu pale kufanyiwa massage na shoo napewa saaaaafi
 
Mleta mada katahadharisha madhara ya massage rooms- SAFI SANA

Wewe umeleta faida za massage Pasi na kum-guide mtu aende kufanya wapi au afanyiwe na nani-SAFI SANA

Kuna mwingine hapo juu kashauri massage mume afanyiwe na mke, na mke afanyiwe na mume-SAFI SANA

MIMI NAONDOKA NA HIZI POINTI TATU ILA NAONGEZEA YA NNE

4. Wanaodai sio kila mtu anajua massage ni kweli ila sio issue ya kumshinda mtu yeyote atakaetaka kujifunza tutorials zimejaa huko YouTube, huko barbershop sio salama sana.
 
Acha ziwepo,hizo sehemu watu huwa wanajipoozaa

Ova
 
Huu ujumbe futa akisoma wife utakuwa umeshaniharibia, jinga sn
 
Braza umekuja lini mjini kutoka huko Usukumani?

Message parlors duniani kote zinajulikana kwa huduma za ziada. Na hata serikali ikiingilia labda izifunge mazima...na kwa taarifa yako hakuna aliyejaribu kupambana na Ile biashara akafanikiwa!

Serikali ishughulike na pressing issues badala ya kufuatilia watu wazima wanaokwenda kukandwa 😁
 
UKIONA MANYOYA JUA KESHALIWAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli kabisa ,mm nilienda nikaulizwa aina ya massage nitaakayo ,hauwez Amini kwanza mazingira ya mwanamke anaefanya massage na aina massage kiukweli hata punguan hawez vumilia ..
 
Upo mjini, una mke hawezi hata kukufanyia massage.... unategemea nini?
 
Oya usituharibie mzee, nyumbani hatufanyiwi masaji, sasa tufanyaje? Ni huko huko na happy ending inapatikana.
πŸ˜‚
 
Mwambie huyooo

Ova
 
Hivi massage ni kitu Cha mtu kwenda kulipia Hela kweli nunua baadhi ya vifaa Bei rahis sana muombe mkeo akufanyie huko waachien mabachelor wakajimwaye mwaye πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna saluni inaitwa bahari barbershop Kuna totoz pale nikiwa na magenye naendaga tu pale kufanyiwa massage na shoo napewa saaaaafi
Iko wap hii nikafanye research mkuu nilete mrejesho hphp
 
Umeshapinda wewe, swallow your pride mkuu
 
Kama ni ukahaba upo mpaka makanisani.

Suluhisho ni usiolewe wala kuoa malaya.

Mtu mzima ametafuta mwenyewe kushikwa shikwa na malipo anatoa anakatazwaje asiende? Halafu wapo mpaka private ukitaka anakufata ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…