Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Jando irudishwe tu, mnaanzaje kusimulia wake zenu mambo hayo?
 
Nakazia
 
Kupunguza hofu labda, kama ni mwanaume anaefanya hiyo kazi awe ameoa na mwanamke awe ameolewa.
 
Mkuu hichi ndio kihere here ambacho tulishakikataa wanaume wewe fata kilichokuleta achana na kazi za watu halafu ni mwanaume gani anaweza kumuaga mke wake kuwa anaenda massage pole sana mkuu bado ujatuweza
 
Wamejiajiri bro wale,we tulia na kamshahara kako Halo ka KIMA CHA CHINI.
Heshimu ofisi za watu bro.
Sio lazima unachokiwaza wewe kufanyika kwa watu wote.
Pole,fata biashara yako.
 
Mkuu hichi ndio kihere here ambacho tulishakikataa wanaume wewe fata kilichokuleta achana na kazi za watu halafu ni mwanaume gani anaweza kumuaga mke wake kuwa anaenda massage pole sana mkuu bado ujatuweza
🤣🤣🤣🤣🤣Daaah aiya mkuu
 
Picha zaushahidi kwaajili yakusindikizia uzi tafadhali😌😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…