GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.

Inasemekana Baadae Saa 8 Kilua Alifika ofisini akiwa na waandishi wa Habari wake na mpiga picha wake akaingia ndani akachukua fomu, kisha akatoka nje kwa ajili ya kupiga picha.

Wakati tukio la kupiga picha linaendelea alitokea January na watu wake na kumvamia Kilua na kumkataza asipige picha.

Chanzo: Matukionline
 
Bumbuli inakaa misukule hakuna binadamu kule wao wape tu
chai tena ya rangi tupu
pilau na nyama
khanga, kofia na tshirts za manga
ukiweza wape nafasi ya kupiga nao picha
wape mabango ya kuweka wanapolala yaliyoandikwa january makamba baasi
mpaka makamba atakapoamua mwenyewe lakini hakuna wa kumtoa BUMBULI
Bumbuli ya misukule
 
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.

Inasemekana Baadae Saa 8 Kilua Alifika ofisini akiwa na waandishi wa Habari wake na mpiga picha wake akaingia ndani akachukua fomu, kisha akatoka nje kwa ajili ya kupiga picha.

Wakati tukio la kupiga picha linaendelea alitokea January na watu wake na kumvamia Kilua na kumkataza asipige picha.

Chanzo: Matukionline
Huyu jamaa atalogwa vibaya sana!
 
Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.

January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
 
Eeee bhana eeeee!!!
 
Jamaaa umeongea yakutoka koyoni kabisa
 
Ukweli. Mtupu...Yaani watu wa Bumbuli wandhulumu na huyo Muhaya ,anawadharau wasambaa kaenda kuoa huko uchagani ,hana nyumba wala kiwanja huko anaishi Dar , Dodoma na ukweni uchagani ila bado anataka ubunge ni dhulmat huyo.
 
Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.

January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Duh za ndani kabisa hizi ndo najua leo
 
Bukoba hadi kuolea Machame ni shemeji yako huyo 🐼
 
Duh za ndani kabisa hizi ndo najua leo
Huyo jamaa ndugu zake ni wachaga na wahaya ,hana uchungu na anawadharau sana wasambaa ..Anaweza kupotea jimboni hata miaka 3 asionekane kabisa ..

Hauwezi kumfananisha na Rashidi shangazi au Bosnia , Bumbuli inakuwa ya mwisho kabisa katika kukusanya pamoja hana anachojua ,miaka yote anatumikia uwaziri tu.
 
Back
Top Bottom