Sasa wewe umempimaje kujua amewazidi CCM wengi akili?!Hii nchi hata ungekuwa ww ndo Mbunge hakuna Ambacho ungebadilisha kwakuwa mifumo alioacha Nyerere haijawahi kubadilishwa Ila inaendelezwa.
wakunda hea; 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Anaijua T 800BDQ (Nyakanazi to Burundi) 2014Makamba akagombee huko alipoenda kuoa mke ,hana uchungu na Bumbuli ..Kwanza ni mzaliwa na Bukoba huyo.
Hoja ya ukabila Tanzania ni hoja ya kichovu kabisaaaaaa. Umeongea upuuuzi mtupu hapaHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Sidhani RK ni mjasiamali wa Kariakoo na IlalaHuyu Kilua ndo mwenye yale mabus ya Lushoto Kilua au majina tu yamefanana.
Kwani hali ya kwingine ikoje? Nadhani haujawatendea haki wagosi wa kaya ...Bumbuli inakaa misukule hakuna binadamu kule wao wape tu
chai tena ya rangi tupu
pilau na nyama
khanga, kofia na tshirts za manga
ukiweza wape nafasi ya kupiga nao picha
wape mabango ya kuweka wanapolala yaliyoandikwa january makamba baasi
mpaka makamba atakapoamua mwenyewe lakini hakuna wa kumtoa BUMBULI
Bumbuli ya misukule
Mpigania uhuru wa pili tia neno hapa😅Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
ooh kumbe.Sidhani RK ni mjasiamali wa Kariakoo na Ilala
Yule wa mabasi sidhani hata km ana interest ya siasaooh kumbe.
Ingawa hi ya kusema eti January sio mtoto wa mzee Yusuf Makamba I'm sure ni uongo, hata kama hatumpendi mzee Makamba na uzao but this is too big to believe, mtazame sura vizuri mzee Yufuf Rajabu Makamba na January, mbona wana fanana? Tofauti tu, January ni mrefu while baba mfupi; that much is not strange, kafata ujombani, hilo lina shida gani?Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Ww ni mkazi wa bumbuli?Hii Agenda ya kumtoa nyoka pangoni, J Makamba ukimya wako sasa unatosha ingia dimbani media zikuone.
Nafasi ya u PM haiji kwa bahati mbaya vita imeanza maana kwa ubunge anachukua kabla ya breakfast kuisha.
BIOGRAPHY yake haijakaa sawa mpaka tujueHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Upumbavu mtupu. Jimbo la Bumbuli sio private property ya familia ya Makamba!Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8 Kilua Alifika ofisini akiwa na waandishi wa Habari wake na mpiga picha wake akaingia ndani akachukua fomu, kisha akatoka nje kwa ajili ya kupiga picha.
Wakati tukio la kupiga picha linaendelea alitokea January na watu wake na kumvamia Kilua na kumkataza asipige picha.
Chanzo: Matukionline
Kuna mbunge hapo Tanga wa Jimbo la Mlalo jina lake Rashid Shangazi nina jamaa yangu mtu mzima nadhani kiumri amemzidi Shangazi kidogo anasema kwa miaka kumi aliyokaa kama mbunge wa Jimbo hilo ameleta maendeleo ambayo kama angekuwa mtu mwengine mpaka yeye anaingia kaburini asingefanya aliyofanya Shangazi,it means waliomtangulia hawakufanya kitu.Kwani hali ya kwingine ikoje? Nadhani haujawatendea haki wagosi wa kaya ...