CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ha
Haya umeshinda January ni kojo la Yusuf.Sema hili la Makamba kuwa mtoto wa kufikia ni uongo, huyo ni mtoto halali wa Mzee Makamba na halina hata ubishi kwa wanaomjua na ni kutafuta tu mada ya kujadili kumuita mtoto wa kufikia. Mengine ni kweli kabisa huyu hajakulia huko kwasababu hata baba yake alikuwa haishi huko kutokana na shughuli zake za Uongozi.
January alipelekwa Bumbuli kulipiza kisasi kwa Mzee Shelukindo baada ya Makamba Sr kushindwa kila alipojaribu kutia nia jimbo hilo ndio akamuapia Shelukindo kumletea mtoto ambaye kwa kipindi hicho alikuwa kijana wa Ikulu na mpika fitina mzuri wa JK.
Kwa kifupi jamaa haijui Bumbuli na wala hana mzuka nayo kabisa ni vile tu ndio tiketi yake rahisi ya kupata ubunge.