ukabila na ukanda ni cancer mbaya achaMakamba akagombee huko alipoenda kuoa mke ,hana uchungu na Bumbuli ..Kwanza ni mzaliwa na Bukoba huyo.
Picha na hali halisi vina tofauti yeyote?Wewe unamuona kwenye picha tu.
Upumbavu wa ccmUpumbavu tu!
Sijui ulikuwa unalenga kitu gani hapa; lakini kusema CCM hii ndiyo aliyoiacha Nyerere, sijui kama umelitafakari vyema hili!Hii nchi hata ungekuwa ww ndo Mbunge hakuna Ambacho ungebadilisha kwakuwa mifumo alioacha Nyerere haijawahi kubadilishwa Ila inaendelezwa.
Yeah!Upumbavu wa ccm
Basi mkuu wangu tumalize ubishi tufanye January ni kojo halali la Yusuf Makamba.Picha na hali halisi vina tofauti yeyote?
Hatuwezi kuwakilishwa na wakuja ,kila mtu akae kwao sio kuleta wakimbizi.ukabila na ukanda ni cancer mbaya acha
Mbona wakiambiwa reforms wanakataa? Nchi inahitajika reforms ili kila mtu awe huru kugombea nafasi yoyote bila vitisho. Huyo Makamba amekaa miaka 15 lakini ni kama popoyo anayejaza nafasi bungeni. Nchi inauzwa yeye kimya. Hii ni kwa sababu anajua wananchi siyo wanaoamua.Upumbavu mtupu. Jimbo la Bumbuli sio private property ya familia ya Makamba!
Mtoane tu macho,tujue nani mlafi zaidi ya mwingine,hapo ni fomu ikifika kwenye kura?Je vipi na ikifikia kampeni.?Yetu Macho.Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8 Kilua Alifika ofisini akiwa na waandishi wa Habari wake na mpiga picha wake akaingia ndani akachukua fomu, kisha akatoka nje kwa ajili ya kupiga picha.
Wakati tukio la kupiga picha linaendelea alitokea January na watu wake na kumvamia Kilua na kumkataza asipige picha.
Chanzo: Matukionline
😀Majimbo yenye wabunge wazawa yanalizidi nini jimbo la Bumbuli?Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Atakuwa amezidi ujeuri huyo January! Ameshindwa kujenga hata vyumba viwili na sebule vya kuzugia. Unajua majimbo ya vijijini waapenda wamuone mbunge ana mji jimboni kwao?Wewe ndiye mpuuzi hujasoma na kuelewa hoja yangu, nimeeleza wazi kuwa huyu hakuzaliwa jimboni, hajakulia jimboni, hajawahi kuishi jimboni maisha yake yote hadi leo hana makazi jimboni, hivyo hoja siyo ukabila bali si mmoja wa wana jimbo la Bumbuli hivyo hajui shida zao na ndiyo maana hajawahi kuwasemea wana Bumbuli, wewe umekurupuka ni aidha ni January mwenyewe au mkewe.
Anafikia Hotelini mhuni huyuAtakuwa amezidi ujeuri huyo January! Ameshindwa kujenga hata vyumba viwili na sebule vya kuzugia. Unajua majimbo ya vijijini waapenda wamuone mbunge ana mji jimboni kwao?
Kwahiyo January akienda Bumbuli huwa anafikia hotelini au kwa baba yake?
Lakini kweli January siyo msambaa, leo ndio nimejua, zile sifa, kujisikia, much know kumbe mhaya? Ila wasambaa wamezubaa sanaHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Fanya utafitiMajimbo yenye wabunge wazawa yanalizidi nini jimbo la Bumbuli?