UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Una maana huyo mzee siyo baba yake wa DNA?aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba
Una maana huyo mzee siyo baba yake wa DNA?aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba
Ccm chama cha mihuniJuni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8 Kilua Alifika ofisini akiwa na waandishi wa Habari wake na mpiga picha wake akaingia ndani akachukua fomu, kisha akatoka nje kwa ajili ya kupiga picha.
Wakati tukio la kupiga picha linaendelea alitokea January na watu wake na kumvamia Kilua na kumkataza asipige picha.
Chanzo: Matukionline
Kwenye sifa za kikatiba na kisheria za kuwa mbunge, hizo ulizozitaja zimo?Wewe ndiye mpuuzi hujasoma na kuelewa hoja yangu, nimeeleza wazi kuwa huyu hakuzaliwa jimboni, hajakulia jimboni, hajawahi kuishi jimboni maisha yake yote hadi leo hana makazi jimboni, hivyo hoja siyo ukabila bali si mmoja wa wana jimbo la Bumbuli hivyo hajui shida zao na ndiyo maana hajawahi kuwasemea wana Bumbuli, wewe umekurupuka ni aidha ni January mwenyewe au mkewe.
mzee millard muajiriwa.Millard ni either anapewa commission asitoe airtime Kwa baadhi ya bahari au anachimbwa Mkwara
Unazingua wewe,Kwanini alazimishe kuwa mgombea pekee, huyu mama anacheka na huyo mhuni? Magu alishamaliza kazi huyu Rais sijui anaangalia dini? Jina lake likatwe amekosa sifa ya kuwa mgombea, hapo ndio utamkumbuka Magu hatishwagwi na jina la mtu
Sifa ya kujua kusoma na kuandika hata Ambaruty anayo jee unaweza kumchagua kuwa mbunge wako? Usilete ligi isiyokuwa na maana January ameshindwa kuwatumikia wana Bumbuli kwa vile si mmoja wao wala hata hajui shida na mahitaji yao kwa vile haishi huko na hajawahi kuishi huko.Kwenye sifa za kikatiba na kisheria za kuwa mbunge, hizo ulizozitaja zimo?
NdiyoUna maana huyo mzee siyo baba yake wa DNA?
Maccm wakiuana mimi nafarijika sana.Inatakiwa wauwane kabisa.
First Lady wangu na sisi tukamuondoe ndumbaro pale songea mjini mdwanzi yuleJanuary ni mtoto wa kambo wa Makamba Sr?
Tobaaah, ndo najua hili leo, em sema kwelii?
Ahaa, kumbe Makamba ni govi (Muhaya)? Ndiyo maana haeleweki yule dogo.Makamba akagombee huko alipoenda kuoa mke ,hana uchungu na Bumbuli ..Kwanza ni mzaliwa na Bukoba huyo.
😅Ahaa, kumbe Makamba ni govi (Muhaya)? Ndiyo maana haeleweki yule dogo.
Inatakiwa wabondane sana tuone manundu,ngeu,mtu kachinjwa,vilema nk ili wajifunze kitu kinaitwa haki kwa kila mtu.Maccm wakiuana mimi nafarijika sana.
mbona mama ni wakuja na anatuongoza??Hatuwezi kuwakilishwa na wakuja ,kila mtu akae kwao sio kuleta wakimbizi.
Kwani hujui hata mfumo wa kugombea ,hasa kwa makamu ..Wakati, Ebu fuatilia kwanza uone sio unapiga porojombona mama ni wakuja na anatuongoza??
acheni ubaguzi mhaya akigombea Tanga kuna shida gani? wasambaa na wabondei wasigombee nje ya Tanga?Kwani hujui hata mfumo wa kugombea ,hasa kwa makamu ..Wakati, Ebu fuatilia kwanza uone sio unapiga porojo
Hana kwao , hatupendi dharauacheni ubaguzi mhaya akigombea Tanga kuna shida gani? wasambaa na wabondei wasigombee nje ya Tanga?
Duh hii paraghraph ya pili hatari sana, acha tupite zetu kwanza tuhangaikie kura yetu, hizo mambo za Bumbuli mwisho mwishoni zitavua watu nguo. Hao wapambe wa January walionesha ushamba wa hali ya juu sana, aibu kwa January anayeratibu uhuuni wa namna hiyo. Walipata kumhusisha na umafia naona kama ni kweli kwa mtindo huoHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Siku hizi kuna AIPicha na hali halisi vina tofauti yeyote?