Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.