Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #121
Siungi Mkono akina Doto Magari na Mwijaku kuzodoa wasomiWanafunzi wengine sio kwamba hawakutaka au walikatazwa kufaulu kama mimi, isipokua uwezo wao ulikua mdogo. Hao sasa wakiyabahatisha maisha ndio hawa wakina dotto magari, kutwa kuwapopoa wasomi wakati ajui kwamba takwimu zinaonesha illiteracy people wenzake ndio population kubwa zaidi ya watu wanaoishi maisha ya dhiki
Kama huwafahamu tulia mzee. Wengi wa waliosoma shule hizi hawapendi k kujionyesha kwa kuwa wamejengwa hivyo. Ila siku ukiwajua utaona mchango wao hata kwa nchi ingawa wengine hako nchiniZilikua zinasaidia kutoa top 10 tu. Baada ya hapo hakuna jipya .
Duhhh....mbona umewakamià?Uko kukalili Kuna faida gani kwa mwanafunzi na taifa? Nyie ndio wale ambao bado mko gizani mnadhani elimu ni kupata marks za juu wakati huo mkishamaliza hiyo shule mnarudi mtaani hata kujiajiri hamuwezi wala kubadili hiyo elimu kutatua changamoto hamuwezi mnasubiri ajira za kugombania.
Mjifunze kwa hao waliowaandikia hiyo mifumo ya elimu, wao walishaachana na huo upuuzi wenu wa kugombania marks za kukalili ambazo hazina impacts
Wako vizuri sana brother. Jaribu kufuatilia. Kinachowasumbua ni mifumo ya kisiasa inawakaba na wengi wao hawapendi kuwa kwenye siasa ni wakina Mh. Maderu wenzake ndio unawakuta huko.Ni kweli matokeo yao yako poa. How about Innovations?
Heheh.....asante mkuu kwa mjadalaWako vizuri sana brother. Jaribu kufuatilia. Kinachowasumbua ni mifumo ya kisiasa inawakaba na wengi wao hawapendi kuwa kwenye siasa ni wakina Mh. Maderu wenzake ndio unawakuta huko.
Mfano mzuri Tundu Lissu. Tukiweka itikadi za kisiasa pembeni huyu jamaa yupo vyema kichwani, kapita ilboru pale. Huyu jamaa alienda kusoma nje akapata kazi nzuri tu marekani. Kama angebaki kule kule uenda dola ingeshamchukua aisaidie nchi, lakini msukumo wake wa kutumia taaluma yake ya sheria kuisaidia jamii yake ukamfanya arudi Tanzania. Nini tumemlipa? tumemmiminia risasi zisikua na idadi sasa hivi ni mlemavu.Umeeleza vizuri boss. Hawa vipaji maalumu wapo na wanatumika kwenye mataifa yaliyoendelea. Sera za nchi haziwapi nafasi ya kutumia uwezo walio nao. Wakigundulika na mataifa mengine wanabebwa nankupotelea huko. Nawafahamu wengi hawapo nchini wako ughaibuni.
Wanakimbilia siasana wanaojua fizikia hawana hamu ya kubuni kitu.
Asante kwa mfano mmojawapo hai. Wapo wengi sana wamelowea huko ughaibuni hawataki kurudi. Lakini wapo madaktari wengi bingwa nchini, Wahandisi, Wakufunzi na sector nyingi nchini wamesoma shule hizo. Watu wanaamua kuwachukulia poa tuMfano mzuri Tundu Lissu. Tukiweka itikadi za kisiasa pembeni huyu jamaa yupo vyema kichwani, kapita ilboru pale. Huyu jamaa alienda kusoma nje akapata kazi nzuri tu marekani. Kama angebaki kule kule uenda dola ingeshamchukua aisaidie nchi, lakini msukumo wake wa kutumia taaluma yake ya sheria kuisaidia jamii yake ukamfanya arudi Tanzania. Nini tumemlipa? tumemmiminia risasi zisikua na idadi sasa hivi ni mlemavu.
Hivi kwa case study kama iyo unafikiri hawa finnest wakipata upenyo wa kutoka nje ya nchi au nafasi kubwa wataangaika kufanya jambo kuzisaidia jamii zao?
Hii shule nilikua naipenda sana ingawa sikua najua chochote kuihusu, sijui nilipenda jina tu ilo au vipi. Siku ya kujaza form darasa la 7, nikamwambia broo nataka kusoma tabora boys. Broo aliniambia tabora mbali sana nijaze shule za karibu na dar, hata likitokea tatizo iwe rahisi kufikiana kwa urahisi. Kwenye form nikajaza azania, mzumbe na kibaha.. form 1 nilichaguliwa kwenda azaniaWana Tabora boys wenzangu mpo humu ..The head of Tanzania.
Sasa kama mfumo wa nchi hauwabebi wafanyaje na wanarundo la watu wanawategemea nyuma halafu kasheku na wengine wanakula over 10M per month?Wanakimbilia siasa
Na Prof mwingine kutoka jalalani anahamasisha singeriSasa kama mfumo wa nchi hauwabebi wafanyaje na wanarundo la watu wanawategemea nyuma halafu kasheku na wengine wanakula over 10M per month?
Mfano mzuri Tundu Lissu. Tukiweka itikadi za kisiasa pembeni huyu jamaa yupo vyema kichwani, kapita ilboru pale. Huyu jamaa alienda kusoma nje akapata kazi nzuri tu marekani. Kama angebaki kule kule uenda dola ingeshamchukua aisaidie nchi, lakini msukumo wake wa kutumia taaluma yake ya sheria kuisaidia jamii yake ukamfanya arudi Tanzania. Nini tumemlipa? tumemmiminia risasi zisikua na idadi sasa hivi ni mlemavu.
Hivi kwa case study kama iyo unafikiri hawa finnest wakipata upenyo wa kutoka nje ya nchi au nafasi kubwa wataangaika kufanya jambo kuzisaidia jamii zao?
Hauna circle ya hao watu ndio maana unaongea hayo. Wadanganye ambao walifaulu kwa kuunga unga. Mimi nimesoma moja izo shule maalumu, ambapo darasani kuna vichwa, na tuna jumuiya zetu za kushirikishana maauala ya sayansi, teknolojia, uchumi n.k ambazo zilikua zinatuunganisha wanafunzi wa mzumbe, azania, kibaha n.k.. kwaiyo nina mifano mingi sana ya watu wanaofanya vyema kwenye field zao, na wengine wamwchukuliwa na maahirika ya nje ukoHakuna serikali inaweza kuzuia kipaji cha mtu, hakuna ... Nchi kama Marekani inabebwa na watu wa nje ya siasa ,inafika kipind serikali inawafuata wengine ni raia wa nje wnapewa uraia kabisa.
Short and clear ,hawajafika level ya kuwa wagunduzi mpaka kushobokewa na serikali...wengi ni motivational speakers wanasoma masomo ya siasa ambayo hayana nafasi kwenye dunia ya leo.
Mheshimiwa Lissu alifaulu masomo yote ila akafuata mambo ya siasa,siasa ni mfumo sio private kwa nchi nyingi so hauwezi kuleta mageuzi ... Ubunifu wa kisayansi unamfanya msomi kuwa huru na kuonesha uwezo wake kwa factual information lakini masomo kama sheria ni manipulation ya kulazimisha batili kuwa haki na haki kuwa batili ,hqkuna cha maana.
Mheshimiwa lissu jwa uwezo wake akiendea masomo ya sayansi angekuwa na heshima kubwa sana ,ukiingia kwenye siasa lazima uwagawe watu kwa mlengo wa kisiasa , ndiyo maana leo anadharauliwa na kutukanwa na kina suphian na lucas Mwanshambwa.
Sasa afanyaje mfumo unawabeba wanasiasa na machawa hautaki kuexploit alichonacho. Acha ale pesa ya uzeeni imuongezee siku za kuishi. Sasa hivi mainfluencer ni wapayukaji wenye elimu ya kawaida. Na wanamake pesa na kuishi maisha ya anasa kuliko wasomi wengi.Na Prof mwingine kutoka jalalani anahamasisha singeri
Kiufupi hamna kitu kipya ajira sio jambo jipya ,kwamba mna products kubwa zinatumika nchiniHauna circle ya hao watu ndio maana unaongea hayo. Wadanganye ambao walifaulu kwa kuunga unga. Mimi nimesoma moja izo shule maalumu, ambapo darasani kuna vichwa, na tuna jumuiya zetu za kushirikishana maauala ya sayansi, teknolojia, uchumi n.k ambazo zilikua zinatuunganisha wanafunzi wa mzumbe, azania, kibaha n.k.. kwaiyo nina mifano mingi sana ya watu wanaofanya vyema kwenye field zao, na wengine wamwchukuliwa na maahirika ya nje uko
100% perfect. It is a sickening situationMfano mzuri Tundu Lissu. Tukiweka itikadi za kisiasa pembeni huyu jamaa yupo vyema kichwani, kapita ilboru pale. Huyu jamaa alienda kusoma nje akapata kazi nzuri tu marekani. Kama angebaki kule kule uenda dola ingeshamchukua aisaidie nchi, lakini msukumo wake wa kutumia taaluma yake ya sheria kuisaidia jamii yake ukamfanya arudi Tanzania. Nini tumemlipa? tumemmiminia risasi zisikua na idadi sasa hivi ni mlemavu.
Hivi kwa case study kama iyo unafikiri hawa finnest wakipata upenyo wa kutoka nje ya nchi au nafasi kubwa wataangaika kufanya jambo kuzisaidia jamii zao?
Mkuu mbona chuki, kwani wakati unasoma ulikatazwa kupiga flat ya A kama sisiKiufupi hamna kitu kipya ajira sio jambo jipya ,kwamba mna products kubwa zinatumika nchini
Acheni ushamba hamna kipya labda ajira ,mwenzenu Fernandez ana Nala nyie mna nn?
Kwenye utajiri na innovation hampo ,nyie mko wpi? Bado mna makamasi kichwani kuamini matokeo ya darasani.
Soma mada kwanza uache kupaniki ,naona unaleta stori za magroup ya Whatsapp ,endelea kutafuta ajira kama wenzio 😅 😅Mkuu mbona chuki, kwani wakati unasoma ulikatazwa kupiga flat ya A kama sisi
Wameua, kifo ni kifo.Duh!!