Hakuna serikali inaweza kuzuia kipaji cha mtu, hakuna ... Nchi kama Marekani inabebwa na watu wa nje ya siasa ,inafika kipind serikali inawafuata wengine ni raia wa nje wnapewa uraia kabisa.
Short and clear ,hawajafika level ya kuwa wagunduzi mpaka kushobokewa na serikali...wengi ni motivational speakers wanasoma masomo ya siasa ambayo hayana nafasi kwenye dunia ya leo.
Mheshimiwa Lissu alifaulu masomo yote ila akafuata mambo ya siasa,siasa ni mfumo sio private kwa nchi nyingi so hauwezi kuleta mageuzi ... Ubunifu wa kisayansi unamfanya msomi kuwa huru na kuonesha uwezo wake kwa factual information lakini masomo kama sheria ni manipulation ya kulazimisha batili kuwa haki na haki kuwa batili ,hqkuna cha maana.
Mheshimiwa lissu jwa uwezo wake akiendea masomo ya sayansi angekuwa na heshima kubwa sana ,ukiingia kwenye siasa lazima uwagawe watu kwa mlengo wa kisiasa , ndiyo maana leo anadharauliwa na kutukanwa na kina suphian na lucas Mwanshambwa.