Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikua zinasaidia kutoa top 10 tu. Baada ya hapo hakuna jipya .Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Watu concentration yao ipo kwa wakina chief godlove na show off zao mitandaoni. Kwaiyo wanafikiri wasomi wote ni uselessHao ndo wanakuendeshea maisha mkuu,
Wamejaa mawizara yote, wamejaa mataasisi yote makubwa,
Kama haujui Hao ndo muhimili wa watanzania, sio wote ila like 20% wanafanya vzr na wanazibeba saana taasisi wanazozifanyia kazi
Nafikiri jina sahihi ni shule maalumu/special schools kama ulivyoandika na si vipaji maalumu.Hizo ni shule maalumu kwa waliopata alama za juu tu.
Vipaji maalum weru ni div oneTumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Utakubaliana na mimi hizi special schools wengi wanafaulu kwa uwezo wao maana hata walimu ni wa kawaida sana kuliko hata wanafunzi.Nikiwa m1 wa waliopita special schools, itoshe kusema kule ni kusoma sana, kukariri na kugombania u TO.
Ila kuna ka hype fulani kusoma special schools. Tchaos.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Uko kukalili Kuna faida gani kwa mwanafunzi na taifa? Nyie ndio wale ambao bado mko gizani mnadhani elimu ni kupata marks za juu wakati huo mkishamaliza hiyo shule mnarudi mtaani hata kujiajiri hamuwezi wala kubadili hiyo elimu kutatua changamoto hamuwezi mnasubiri ajira za kugombania.Kukariri kipaji pia usifanye mchezo kukariri,kwanini wao waweze kukariri halafu wengine washindwe?
Pia mifumo mingi ya IT wako hao wanaopuuzwa, watendaji wakuu wa wizara na taasisi za umma wako hao special schools alumni. Sehemu pekee ambako wako wachache ni kwenye siasa ndio unawapata wachache.Mada nzuri.
Kwa kuwa ume declear kuwa hukubahatika kuchaguliwa shule hizo basi moja kwa moja umekiri wengi huwajui na hujawahi wafuatilia.
BInafsi nawatambua vijana kadhaa waliopita shule hizo na wana mchango mkubwa kwa taifa katika nyanja mbalimbali.
Mfumo wa elimu zetu hazikutuwezesha kufanya gunduzi mbalimbali kwa sababu ya mazingira na vifaa. Lakini pia ugunduzi si mpaka urushe ndege. Matumizi sahii ya akili yako yanaweza kuleta matokeo chanya katika jamii.
Mfano juzi tumeona wanafunzi wa kibaha wakiwekeza mfumo wao wa kupiga kura kidigitali na kufanya uchaguzi.
Vipaji maalumu wengi walivyofika chuo wameendelea katika taaluma mbali mbali na pia wengi wapo na kampuni kadhaa....
Naweza kukutajia mbili tu. Anayeendesha AI ya kiswahili ni kipaji maalumu. Aliyeandika code za kampuni moja ya mawasiliano ni kipaji maalumu.
Nyerere ni kipaji maalumu n.k
Kwa namna ulivyotaja hao influencer wako ni dhahiri wewe ni mtu wa social media unayedanganywa na mafanikio ya picha.
Tatzo la watanzania wengi hudhania mafanikio ni hela nyingi au umaarufu.
Mimi nikuhakikishie tu. Kusanyiko la vilaza sio sawasawa na kusanyiko la vipaji maalumu. Kuna tofauti tu mtaonyesha kwenye kufikiri na kwenye kuamua.
Leo form 1 failure anaweza kutamba kuwa ana hela kuliko aliyesoma chuo. Lakini anasahau kuna watu behind walioweka mifumo imara inayofanya yeye apate hela.
Uvivu wa kufikiri unafanya tunakuwa na jamii isiyo na misingi imara na iliyokosa fikra timamu. Leo mtu mzima ana praise wauza uchi na machawa kuwa ndio wenye mafanikio. Huu ni ugonjwa wa akili.
Watu wanatafuta sana sababu za kuwashusha hadhi waliosoma kama vile wao hawakutaka au walikatazwa kufaulu vizuri. Mimi nilipomaliza shule ya msingi ni peke angu nilipiga flat A ikiwemo hesabu nilipiga 50/50 nikapangiwa kwenda kuendelea form azania sekondary.Vipaji maalum weru ni div one
Which is a veeybwrong factor yw kuwa special student
Ni kweli matokeo yao yako poa. How about Innovations?Utakubaliana na mimi hizi special schools wengi wanafaulu kwa uwezo wao maana hata walimu ni wa kawaida sana kuliko hata wanafunzi.
Ukitaka kuona uwezo wao peleka huduma zote zilipo Fedha schools halafu uone watakachofanya. Huko kuna vichwa kwelikweli sio mchezo. Kuyaelewa masimple pendulum inahitaji ubongo tulivu kwelikweli. Hata sasa matokeo ya shule hizi ni mazuri sana.
Swali lako ni sawa na mtu kuuliza faida ya misikiti na makanisa ni zipi ...jibu ni hakuna faida yoyote ya maanaTumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Una point nzuri sana ila nafikiri kwa watu ule shule za msingi hazikuandaa kutambua vipaji vya watoto ili wanapokwenda sekondari waende kutokana na vipaji vyao. Angalau majeshi enzi za Nyerere na mwinyi watu waliingia kutokana na walichonacho. Kuna wazee waliingia jeshi kwa kusakata kabumbu, riaza, ufundi, kuimba na vipaji vingine.Tatizo sio shule bali waliozianzisha ndio ambao akili zao zinatia mashaka .
Huwezi kuanzisha vipaji maalumu bila kulenga ugunduzi na teknolojia .
Tulitegemea pawe na shule za Vipaji maalumu zenye Maabara na workshop za ufundi na masuala ya ugunduzi na vipaji maalumu katika ubunifu na Computer.
Cha ajabu shule hizi ni za kukariri tu hesabu na sio vipaji vya ugunduzi . Wengi wao hawawezi hata kuchunga mwiko au hata kutengeneza jiko la mkaa achilia mbali Kutengeneza masufuria kama wazee wetu wa zamani .
Hata kufinyanga chungu hawawezi lakini wanauwezo wa kukariri na kupata alama A zote.
Shule za Vipaji maalumu zilitakiwa ziwe ni vipaji vya kuzaliwa na sio kukariri kama Koran tu.
Walitakiwa wapimwe kwa ujuzi usio wa kawaida na uelewa wa kuzaliwa kabla hata ya kuingia kwenye mitihani. Mfano mtoto mwenye uwezo wa kufanya hesabu ngumu kwa kichwa bila kuandika n.k.
Lakini hii ya ufaulu wa A haitatuletea Wagunduzi hata wa baiskeli achilia mbali Cherehani za Kidigitali.
Na pia kutegua mabomu kule Afghanistan na kwingineko kwenye vita, panya mtaalamu alikufa,baadae tukasikia alipata warithi wake,sijui hadi sasa waliishia wapi!!?Niliwahi kusikia waligundua Namba ya Panya kugundua Magonjwa ya TB kwenye Sample za Makohozi. Hadi leo sijajua imefikia wapi ile project
Ni kweli matokeo yao yako poa. How about Innovations?Utakubaliana na mimi hizi special schools wengi wanafaulu kwa uwezo wao maana hata walimu ni wa kawaida sana kuliko hata wanafunzi.
Ukitaka kuona uwezo wao peleka huduma zote zilipo Fedha schools halafu uone watakachofanya. Huko kuna vichwa kwelikweli sio mchezo. Kuyaelewa masimple pendulum inahitaji ubongo tulivu kwelikweli. Hata sasa matokeo ya shule hizi ni mazuri sana.
Zote ni njia za kutafuta hela sio u maalum wa pekee tu. Tunategemea mwanafunzi akishajifunza katika shule hizo anakuwa bora zaidi katika masomo ya amali na vilevile tunapata madaktari bingwa ambao ni wepesi kuelewa katika masomo yao.
Umeeleza vizuri boss. Hawa vipaji maalumu wapo na wanatumika kwenye mataifa yaliyoendelea. Sera za nchi haziwapi nafasi ya kutumia uwezo walio nao. Wakigundulika na mataifa mengine wanabebwa nankupotelea huko. Nawafahamu wengi hawapo nchini wako ughaibuni.Kwenye izo izo fani zao kuna ubunifu wanaufanya. Taarifa zao hatuna kwa sababu hatuna utaratibu mzuri wa kufuatilia watu wetu uko nje wanafanya nini, labda mpaka wanapokutana na changamoto mbaya ndio tunaamka.
Mfano mzuri nemes raymond tarimo, mtanzania mwenzetu aliekufa kwenye vita ya ukraine na urusi. Yule ni mshkaji wangu kitambo na alipata scholarship ya kusoma IT kule urusi si ajabu hata mamlaka hazikua zinajua uwepo wake kule. Kama asingekutana na yaliyomkita isingejulikana uwepo wake kule.
Kitu kingine huwa hawa vipaji maalumu ambao wengi wao ni diaspora huwa hawapendi kujitokeza kwa sababu wanakwepa siasa za afrika.
Kuna mshkaji wangu mmoja ambae ni kama broo angu alinitangulia madarasa mawili pale azania, jamaa anaishi canada na yupo vizuri, katika kuwasiliana nikamuuliza kwanini asije kuwekeza bongo? aliniambia huku kuna masuala ya uraia pacha yanakwamisha, na usipokua puppet wa wanasiasa unafanyiwa vigisu sasa kwa mtu ambae hawezi kuwa chawa ni changamoto.
Trust me mzee baba, hawa finnest wa vipaji maalumu wapo uko google, nasa, harvard n.k wanafanya mambo makubwa tu