Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Ngoja tuone 😃 maana nyie bavicha siyo wa kuwaamini fasta fasta!
Huu ujinga wa wanaccm ndio naupinga san, yaan mkipewa hbr dhidi ya CCM hamuamin kama ni CCM!! Hata mambo ya escrow, mchuchuma, iptl Richmond mlianza hivhiv kukataa mkidai ni CDM mwisho wa cku mkaja kubali!!
 
Akili walizoamzimisha zimerudi sasa, Ukiazimisha akili ukumbuke kuwa Wakati unapohitaji kuzitumia unapata taabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…