Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Hatuna viongozi,waondoke.So what were they doing,si wazi walikuwa na nia ovu ya kuwahadaa na kuwaibia Watanzania.Sijui watajificha wapi,aibu sana.Heri yake Makamu wa Rais,alinyamaza tu.
 
sasa itakuaje?...si tunasikia kuna baadhi ya wanasiasa wamekula pesa ndefu ya mwarabu?....wataitemaje?.
Tutawapeleka kwa mwarabu amalizane nao si unajua waarabu mambo yao, ila si kuna mdada mmoja alisema bungeni kuna mashoga sasa tunaweza kufikiri tunawapa adhabu kumbe ndio tunawaburudisha
 
Inshort Sekretalieti ya Bunge imegusa mulemule ambapo wadau wamekuwa wakisema! na sio kama wapate ufafanuzi ila waishauri Serikali iachane na mkataba huu kabisa ikirudi irudi tena mchakato uanze upya kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…