Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Credit kubwa sio kwa Chadema, Hapa ni Wapewe Credit zao Dr.Slaa na club house, na Wanasheria na wanaharakati waliokuwa wakifafanua katika mlengo wa kisheria kifungu kwa kifungu Kisheria(High voltage). Na sio oja za Aliesaini Mzanzbr, Katibu mkuu and Presdent orgin( Low voltage
 
Bado huo ushauri wa seketariati ya bunge hautoshi. Halafu hawakutoa mapendekezo yo yote. Wangalichukua mapendekezo yote ya TLS na yale ya Prof Shivji.
Shivji, TLS, Nshala , Madeleka wametoa ushauri mzuri sana wa kuhitaji kufanyiwa kazi kwenye mkataba huu wa IGA siyo eti wasubiri HGAs ambazo kwanza ni za siri na hatutoziona.
 
Watanzania ndio Sasa hivi wanagundua kwamba JOB NDUGAI alikua spika mwenye akili na upeo wa kuona mbali na uzalendo wa Hali ya juu.
Kilichomuangusha Ni wale wanawake wasaliti thenashara +7 na kumnyima Lissu malipo yake halali.
 
Back
Top Bottom