Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Faiza ulisema mkataba hauna shida,ni mzuri,una la kusema?Wakati mwingine muwe na aibu jamani. TLS na hata LRHC wameukataa,who are you to say it is okay,au na wewe wamekukatia kama Kitenge?Shame on you.

Ajuza hata kuusoma hajausoma
 
Kwa bahati mbaya...... wamesha sign [emoji22][emoji22][emoji22]
Ndipo huwa nawashangaa watu humu jf ! Walishasema mkataba ulishasainiwa na kwamba hakuna namna yeyote ya kuuvunja mkataba ukisha sainiwa sasa hii furaha ya maazimio ya sekretariet ya bunge imetokea wapi. ??!!

Bandugu mbona mnatuchanganya ??!!
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Kwavile hawa wabunge vichwa maji ndo wamerudiwa na fahamu zao kwasababu hapo mwanzo walikuwa kama misukule tu kupitisha mkataba wasiouelewa! Sasa chakufanya ni kuiambia serikali iuvunje sasa hivi kwasababu hauna maslai mapana ya kitaifa na kiusalama. Huvunjwe sasa hivi kabla hawa waarabu hawajaanza kuleta mashine na kuingia gharama za utekelezaji! Hata kama wataitaji fidia itakuwa ni ndogo
 
Wewe Utakuwa unaniota kila mara
Kwahiyo wote hapa JF wanaounga mkono Dpworld ni waislam?
Lord denning muislam?
mdukuzi Muislam?
ChoiceVariable muislam?
Steven Joel Ntamusano muislam?

Punguza kujitoa akili...na Acha kunitag kwenye upumbavu
Huyu boss ninayemfahamu mimi, ninaekunywa nae ulabu pale Shabaha hawezi kuwekwa kundi moja na FAIZA FOX!!! Unless huu upepo yabisi wa DpWorld nae umempitia!!!
 
Duh inahuzunisha mnoo,kwamba mkataba hauwezi kuvunjika katika namna yoyote ile.
Hapo ndipo mnapotuchanganya !!
Sasa hayo maazimio ya sekretariet yatabadilisha kitu gani ???!! Wengine wakasema kilatini Locuta causa finita !
 
Hii sasa inakuwa kama mijadala ya serikali au club houses. Mtu anajibu swali baada ya dakika mbili mwingine anauliza swali lilelile

Havent different contributors not even long ago stated ‘arbitration‘ is a standard clause kwenye FDI let alone treaties
Haya naona usivyoweza kubaki kwenye hoja ongelewa, swali liko based na kauli ulizozitoa ,inakupasa ujubu bila kuhusisha wengine na mimi sio wa kwanza kukuuliza ujibu kutokana na kauli zako,kirango alikuuliza pia
 
Attachments

  • Capture+_2023-07-25-18-42-39.png
    Capture+_2023-07-25-18-42-39.png
    21.8 KB · Views: 3
Haya naona usivyoweza kubaki kwenye hoja ongelewa, swali liko based na kauli ulizozitoa ,inakupasa ujubu bila kuhusisha wengine na mimi sio wa kwanza kukuuliza ujibu kutokana na kauli zako,kirango alikuuliza pia
Ninayo hiyo document from the date it was released.

Ina mambo mengi siwezi kuongelea kila hoja waliyoilezea, ku address kila point yao ni sawa na kuandika report.

Ndio maana nikakuuliza point ipi unayotaka niongelee.

Sina all the time in the world kujibu hizo point zote or else itanilazimu kuandika for up to 3 hours. Speaking of time mine has run out for now.

👋
 
Anzia kwenye arbitration walivyosema imekaa vibaya na ulivyowaponda hawana point kujustifiy poor terms kwenye mkataba
Kule kwenye arbitration tumeshindwa kwasababu tuliwakishwa na zombies!! Serikali ilikuwa na justification ya kubadili sheria ya madini na Sababu zile ndio walitakiwa wazieleze kwenye arbitration!!
Sheria ya zamanı ilikuwa haitupi faida sisi wenye rasilimali na wawekezaji ndio walikuwa wanafaidika hivyo sheria mpya ilikuwa inarekebisha kasoro hiyo! Sasa Hawa zombies mliowapeleka wanaulizwa maswali wanasema hawakujitayarishsha!! What on earth is wrong with this country?
 
Ninayo hiyo document from the date it was released.

Ina mambo mengi siwezi kuongelea kila hoja waliyoilezea, ku address kila point yao ni sawa na kuandika report.

Ndio maana nikakuuliza point ipi unayotaka niongelee.

Sina all the time in the world kujibu hizo point zote or else itanilazimu kuandika for up to 3 hours. Speaking of time mine has run out for now.

👋
Ukishindwa ku address kila point maana yake kauli yako ya awali kwamba wanaokosoa mkataba wanakosoa kishabiki nayo ilikuwa ya kishabiki.
 
Haka Ka kitengo Ka serikali kameona imebaki nepi kukwapuliwa kabaki na ding dong zunaning'inia kakaona kajitose. Yaani nalichukia hili li serikali kuliko hata shetani
 
Kule kwenye arbitration tumeshindwa kwasababu tuliwakishwa na zombies!! Serikali ilikuwa na justification ya kubadili sheria ya madini na Sababu zile ndio walitakiwa wazieleze kwenye arbitration!!
Sheria ya zamanı ilikuwa haitupi faida sisi wenye rasilimali na wawekezaji ndio walikuwa wanafaidika hivyo sheria mpya ilikuwa inarekebisha kasoro hiyo! Sasa Hawa zombies mliowapeleka wanaulizwa maswali wanasema hawakujitayarishsha!! What on earth is wrong with this country?
K.m unaongelea ishu ya profesa kwenye kesi ya madini, ile ni hoja nyingine ila kwa hii IGA ya DPW, chanzo cha sisi kushindwa huko mbeleni ni jinsi IGA ilivyokuwa drafted sentensi moja Inakuwa na maana pana,hivyo kutoa mwanya wa kushindwa kwenye kesi huko mbelene na TLS wameiandika kwenye document yao ya mapendekezo na jinsi inavyopasa kuwa kujiondoa kwenye mtego huo
 
Ukishindwa ku address kila point maana yake kauli yako ya awali kwamba wanaokosoa mkataba wanakosoa kishabiki nayo ilikuwa ya kishabiki.
Mmemkalia kooni au kwenye naniliu zake hahahaah mnabembea nazo Hadi zikatike
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Watanzani tumwambie Spika ajiuzuru
 
Ndipo huwa nawashangaa watu humu jf ! Walishasema mkataba ulishasainiwa na kwamba hakuna namna yeyote ya kuuvunja mkataba ukisha sainiwa sasa hii furaha ya maazimio ya sekretariet ya bunge imetokea wapi. ??!!

Bandugu mbona mnatuchanganya ??!!
6742970da5.jpg
 
Back
Top Bottom