12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,189
- 407
Mama SAMIA RAIS wetu wa JMT,Niliwmini kwa kuwa wewe Ni mwanamke Yamkini Nchi itaenda vyema.
Umejitokeza kwa sura isiyo na huruma hta chembe kwa TANGANYIKA YETU,Uliwahi kufundishwa enzi za utoto endapo utashika madaraka makubwa ututendee vibaya SISI ndugu zenu wa TANGANYIKA?
Nini hii unayotutendea, SHUKRANI ya Punda ni Mateke? Tumekosea Nini TANGANYIKA? 2020 Ulienda kufanya Nini DUBAI? Kuchagua orofa la kununua huko Dubai ili ukiiuza TANGANYIKA YETU wewe na UZAO wako mhamie huko?
Mousoma kwa RASILIMALI za TAMZANIA ILI MLINDE WANANCHI NA RASILIMALI ZETU TUBAKIE KWA AMANI NA WENYE UMOJA.kwanini yanaleta migawanyiko isiyo takikana kwenye Nchi yetu?
Unafurahia Nini kutugawa kwa DINI ZETU WAKRISTO NA WAISLAMU?
Utapata furaha gani Tanganyika na Zanzibar wakijitenga nasi TU ndugu wa damu moja? MAMA SAMIA cheo nibdhamana tu,Tena Ni kwa kipindi kifupi Sana.TANZANIA yakitokea machafu kwa sababu ya TAMAA YAKO,Sherehe yako utaifanyia wapi pakuwa unawagaji wa damu katika Ardhi ya Nchi yako ULIYOZALIWA, LELEWA NA KUKUA HAPA NA Kusema ukweli umechanua sababu wewe Ni Mtanzani.
NAKUSHAURI NA NI MAOMBI YANGU UWE NA MASIKIO YAKUSIKIO:
Ni wewe ndio una mamlaka isiyopingwa na awaye yote kubaliane na hili ACHANA NA MIKATBA MIBOVU YA DP WORLD.
Ni Bora kujisahihisha katika like umekosea kuliko kukosea na kuendelea kuyapaka makosa hayo kana kwamba na BARAKA/THAWABU KUTOKA KWA MWENYE MUNGU.
Komesha Propaganda zenye kutumia RASILIMALI nyingi/Matumizi makubwa ya FEDHA kuliezea jambo hili MKATABA na DP WORLD la heri Sana.Fikiri zaidi ya wigo wako wa kufikiri Heri ubaki na kipato Chalo Cha halali kuliko KULA ASALI YENYE KULETA UMASIKINI KWA TANGANYIKA/TANZANIA YETU.
HERI MEGO KAVU PAMOJA NA AMANI,KULIKO TONGE LENYE MCHUZI PAMOJA NA AIBU NA KILIO MILELE.
MAMA SAMIA RAIS WETU RUDISHA MOYO WA KUPENDA TAIFA ZAIDI KULIKO MASLAHI YA MUDA KITAMBO NA FEDHA YA KUDUMU.
Haya yanatosha,mwenye SIKIO na asikio wosia huu,MZALENDO NIMETOA MAUSIA HAYA.
TANGANYIKA BILA BANDARI ZETU HAIWEZEKANI.