Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Israel imeshateketezwa kabisa na Iran.Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Hilo media za magharibi ikiwemo Israel yenyewe hayo hawayasemi,hisipo kuwa leo nimeona gazeti la Israel likikiri kwamba kuna kituo chao cha utafiti na kijeshi uliharibiwa vibaya sana na kombora la Iran na kiwatia hasara ya mabillion ya US Dollars - ukiona Israel yenyewe inakiri in Public basi watu wenye kuona mbali wanajua kwamba shughuri ya Iran dhidi ya Israel haikuwa ndogo-kuna mambo mengi Israel inaficha yasijulikane.Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.Hahaa.. Israel anapigana vita mwaka mzima. Anarusha ndege, missiles, drones n.k. vita ya wiki mbili imdhoofishe hivyo?😂😂
VITA ni mkakati unapigwa kimkakati unatulia kinachobaki unaanza kupiga propaganda.
Wayahudi wa mwembe chai wanakuambia kuwa Iran ilikuwa inashambulia hovyo bila shabaha.Hilo media za magharibi ikiwemo Israel yenyewe hayo hawayasemi,hisipo kuwa leo nimeona gazeti la Israel likikiri kwamba kuna kituo chao cha utafiti na kijeshi uliharibiwa vibaya sana na kombora la Iran na kiwatia hasara ya mabillion ya US Dollars - ukiona Israel yenyewe inakiri in Public basi watu wenye kuona mbali wanajua kwamba shughuri ya Iran dhidi ya Israel haikuwa ndogo-kuna mambo mengi Israel inaficha yasijulikane.
Kuna kitu najiuliza sana, hivi hawa roketi zao walisha zi pre-programme kwa kuziwekea coordinates mission critical targets za Nchini Israel,mfano: military assets na pia military industrial complex nchini Israeli!!Hahaa.. Israel anapigana vita mwaka mzima. Anarusha ndege, missiles, drones n.k. vita ya wiki mbili imdhoofishe hivyo?😂😂
VITA ni mkakati unapigwa kimkakati unatulia kinachobaki unaanza kupiga propaganda.
Kile kituo kilikua ni kikongwe na kikubwa kwa Israel,..............waajemi kwa kutumia silaha zao mpya na accurate target kutoka zaidi ya kilomita 2000,walikiteketeza na kuharibu maabara zaidi ya 45 kwenye ile centre ndani ya sekunde.Hilo media za magharibi ikiwemo Israel yenyewe hayo hawayasemi,hisipo kuwa leo nimeona gazeti la Israel likikiri kwamba kuna kituo chao cha utafiti na kijeshi uliharibiwa vibaya sana na kombora la Iran na kiwatia hasara ya mabillion ya US Dollars - ukiona Israel yenyewe inakiri in Public basi watu wenye kuona mbali wanajua kwamba shughuri ya Iran dhidi ya Israel haikuwa ndogo-kuna mambo mengi Israel inaficha yasijulikane.
Yes for More than 30 yrs waajemi walikua wamejipanga,........ Technolojia iliyotumika kuipiga Israel na ku-bypass mifumo ya kiyahudi,.........Anayeumia alikua ni Zelensky,maana zile missile anajua akipewa Mrussi na akazitumia,wiki nyingi hamna taifa la ukraine.Kuna kitu najiuliza sana, hivi hawa roketi zao walisha zi pre-programme kwa kuziwekea coordinates mission critical Israel military assets na pia military industrial complex!! Inaelekea Wairan walijipanga siku nyingi for this eventuality - my OPINION.
Mbona Natenyahu amezeeka ghafla!! Hatarudia kuleta mambo ya kipuuzi mashariki ya KATI, bila Trump kumuonea huruma baada ya kuona kipigo cha Iran dhidi ya BIBI sijui saa hizi tungekuwa tunazungumza nini??Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.
Lakini hii inayozungumzwa hapa ni ya Israel kuingia katika vita na nchi inayomshinda nguvu ndiomaana kapoteza pambana na kaingia hasara iliyoandikwa na mleta mada hapo juu.
Nina uhakika toka uzaliwa haukuwahi kumuona Netanyahu akiwa katika muonekano huu, lakini hii vita ya week 1 imemfanya Netanyahu apururuke namna hii kwa sababu ya kukosa kula, kuoga na kulala.
Hebu msikilize Trump hapo kwenye video amesemaje. Kama lugha ya marehemu Elizabeth haufahamu nitag nije nikutafsirie. Lakini hata kama haukuelewa hiyo video, picha ya Netanyahu hapo juu inaweza kukufanya uelewe kuwa Israel safar hii ilikuwa katika hali gani. Na hapo ni week tu.
Teknolojia ya kitu gani hasa ndio imeanguka?...au ya silaha?Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Trump ataijenga Israeli upyaaa.Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Ukraine uenda ilikosa usingizi kwa mvua zile za IRAN maana ilijua mlango unaofuatia ni ballistic kwenda RUSSIA kwa mkopo.Yes for More than 30 yrs waajemi walikua wamejipanga,........ Technolojia iliyotumika kuipiga Israel na ku-bypass mifumo ya kiyahudi,.........Anayeumia alikua ni Zelensky,maana zile missile anajua akipewa mrusi hakutakua na taifa
Kama kawa tunaweka source ili wapumbavu wanaosema Israel inatetea ukristo while ina majority Muslims na is against christian waone facts
Iran alikosea kusimamisha vita angendeleza kipigo mda wa miezi mitatu ingekuwa safi sanaYangekufa yote hayo hayana faida kwa dunia
Ndani ya siku 12 :-
Thanks a lot, hata mimi nafikiri niliona habari hizi hizi mpaka nikawa naisikitikia sana Israeli!! We unafikiri kwa nini Trump aliingilia kwa kuona enough is enough alisha ona Israeli itakuja kudhalilika. Uzuri wa Trump huwa mkweli - alisema niliona jinsi rockets/makombora yalivyo kuwa yanaishukia Israel yanakwepa Air defense sytems zoo, Trump akaona eeh bwana eeh ngoja niwabie hawa watu wasitishe vita, alisha juwa anaye lemewa.Kile kituo kilikia ni kikongwe na kikubwa kwa Israel,..............waajemi kwa kutumia silaha zao mpya na accurate target kutoka zaidi ya kilomita 2000,walikiteketeza na kuharibu maabara zaidi ya 45 kwenye ile centre ndani ya sekunde.
Tunaweka source ili wapumbavu wanaosema Israel inapigania ukristo while Israel ina waislam wengi kuliko wakristo na hawana habari kabisa na huo ukristo,waone facts na sio maneno
damages 45 Labs in Israel oldest institute
Typing error kakusudia 44%Trump ataijenga Israeli upyaaa.
Halafu hakuna kitu kama %44. Au huko St. Kayumba mnafundishwa ujinga?