Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Wewe kufeli unalichukuliaje?
IDF huko Gaza misheni zake zote kafeli hajawamaliza Hamas na hajakomboa mateka.
Amebaki kuua tu raia hovyo.

Unajichanganya sasa,nani kakwambia Iran alikua anajivunia silaha za nuclear?
Lini aliunda hizo silaha?
Ripoti zilishasema kuwa mashambulizi ya US na Israel hayajafanikiwa kuharibu mpango wa nuclear wa Iran bali imewarudisha miezi michache nyuma.

Nakuletea ushahidi sasa hivi usijali.

Hawa wayahudi weusi kila kitu wao hawaamini, trump amekubali israel imechapika ila wao bado hawaamini tu.
 
Kuna upuuzi gani hapo mkuu hadi ukahusisha na Uislam bro? Hizo ni app na gunduzi ambazo zimefanywa na wao, umehusishaje dini ya kiislam hapo? Nilicho kigundua, waislamu wengi wa JF hata huo uislamu wenyewe wala hawaujui and I can bet, over 75% yenu hata kitabu chenu hamkijui. Let me shorten it; hivi unafahamu kama miji ya kihistoria ya kiislam ipo 3? Makkah, Madina na Jerusalem? Nani mmiliki wa Jerusalem kaka? Ni Wayahudi so ungejua hilo wala usingehusisha na uislamu hapo!
 
Back
Top Bottom