Una uhakika niliyosema hayana ushahidi!?Haya yote mnayasema kwa kutuandikia mkulizwa hizi taarifa chanzo chake ni mnakimbia. IDF wanakupiga na wanakwambia kabisa flani tumepiga na tumeua. Sasa Iran wamekufa ma generali na IDF ikasema ripoti kibao zinasema wamekufa watu 900+ huku Iran karusha missile karibu 1000 lakini madhara ni machache tena kwenye majengo.
Huu ubishi wa kijinga aliwarithisha nani?
Je nikikuletea ushahidi hapa?
Haya niliyoeleza vyombo vya habari tena vya wazayuni wenyewe YEDIOTHAHRONOTH,TIMES OF ISRAEL vilitoa taarifa.
Uache uongo aisee watu tuna macho na akili.