Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Ukraine uenda ilikosa usingizi kwa mvua zile za IRAN maana ilijua mlango unaofuatia ni ballistic kwenda RUSSIA kwa mkopo.

Vita siyo nzuri but ISRAEL amevuna alichopanda.
Iran 2022 alisupply she had drones........kamikaze drone,hizo zilibalisha upepo wa vita ya Russia-ukraine,.....maana ni silaha mpya ambayo haikuwahi kuwepo,$1500 drone,inatafuta target,inadestroy a $100 milioni building,........hii iliwatisha sana NATO😀😀.
shoda yake tu unaweza intercept na air defence.
Sasa kwenye hii vita waajemi wakaja na Khormsher missile,***** huu mzigo ndio uliopiga Weizmana institute na ile hospitali,.....hii missile ndani onabimisiel vingine vidogo vidogo,ikikaribia kulipuka inavitawanya,au Airdome ikiiintercepr ndio inavilipua vile vimisile vidogo dogo
Hii silaha ndio imebadilisha upepo wa Netanyahau kwenye hii vita......imagine ndani ya 12 days umepoteza bandari yako, kuu umepoteza chuo chako cha kisayansi,umepoteza refinery oil yako kubwa ianyosupply nchi 80%.
Kipindi hiko unategemea misaada wa nchi nyingine,sio rahisi mazee
 
Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.

Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
embu chambua na ya Iran imeanguka asilimia ngapi usiegeme upande mmoja
 
embu chambua na ya Iran imeanguka asilimia ngapi usiegeme upande mmoja
Loss yeyote ya Iran hata iwe kubwa kiasi gani haina maana,unajua kwa nini?
1.Iran ndio kachokozwa
2.Tuliaminishwa hakuna hata Risasi inayoweza penya Israel,Iran yeye akarusha makombora kabisa na kubomoa majengo
3.Iran kampiga Israel bila hata mwanajeshi mmoja wa Iran kutembea hata kilomita Moja,yaani imagine JWTZ iwapige M23 kutokea Lugalo pale,unaharibu majengo,miundombinu,nchi nzima inalala kwenye mahandaki ila wahuni hata Gwaride hawajapiga😀😃

Sasa jiulize ikitokea ile ground invasion kama ya Ukraine hawa wahuni itakuaje?😀😃
 
Tafuta hizo taarifa za Iran kaanguka % ngapi anzisha uzi wake alafu tuje kuchangia na rong range missiles😁
Hizo hawawezi kuzipata.......since 1947 Taifa la Israel lilipoanzishwa halijawahi experience huu mziki,.........yaani watu wanapiga missile zaidi ya kilomita 2000,ndani ya dakika 12 imeshatua nchini kwako......na unavunja concrete za machuma na mazege.....😀😀😀
Waajemi walivoamza kuishambulia Qatar,.......waarabu na wa U.S wakaona isiwe kesi,....imagine world wide flight routes Iran alizivuruga ndani ya 24 hrs tu
 
Tunaweka source ili wapumbavu wanaosema Israel inapigania ukristo while Israel ina waislam wengi kuliko wakristo na hawana habari kabisa na huo ukristo,waone facts na sio maneno
damages 45 Labs in Israel oldest institute
Achana na hao ng'ombe unawaonea bure tu mkuu... ukitaka wakupende wakupe hadi maini yao waambie shalom Israel🤣🤣🤣
 
Trump ataijenga Israeli upyaaa.
Halafu hakuna kitu kama %44. Au huko St. Kayumba mnafundishwa ujinga?
Acheni ubishi usio na maana...
Israel inaongoza duniani kwa kutumia asilimia kubwa ya GDP yao kwenye technology R&D wakifuatiwa na South Korea... halafu namba tatu ni uSA..

Israel start ups nyingi mno za tech, pia wanaongoza kwa kuwekeza asilimia kubwa ya GDP yao kwenye start ups kuishinda hata USA ndio maana wana nickname yao 'start up nation'....

Kampuni nyingi za kimarekani ambazo ni multi billions kama Intel, Google Microsoft, Nivdia n.k wana maofisi hapo ya research n.k..

Kwenye hii vita makombora ya Iran yalikuwa hayazuiliki, hivyo iran wamelenga sana hizo R&D centers, vituo vya kiteknolojia, maabara n.k... hata ofisi ya microsoft ililengwa.... unaweza piga hesabu hio hasara, kwanza hio 44% ni kidogo inaweza kuwa zaii ya hapo....
 
Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.

Lakini hii inayozungumzwa hapa ni ya Israel kuingia katika vita na nchi inayomshinda nguvu ndiomaana kapoteza pambana na kaingia hasara iliyoandikwa na mleta mada hapo juu.

Nina uhakika toka uzaliwa haukuwahi kumuona Netanyahu akiwa katika muonekano huu, lakini hii vita ya week 1 imemfanya Netanyahu apururuke namna hii kwa sababu ya kukosa kula, kuoga na kulala.

Hebu msikilize Trump hapo kwenye video amesemaje. Kama lugha ya marehemu Elizabeth haufahamu nitag nije nikutafsirie. Lakini hata kama haukuelewa hiyo video, picha ya Netanyahu hapo juu inaweza kukufanya uelewe kuwa Israel safar hii ilikuwa katika hali gani. Na hapo ni week tu.
Trump alichesema ni kweli kwa siku kadhaa wamerusha ballistic missiles na yamepiga majengo kadhaa lakini mwisho akasema hawatatengeneza mabomu kwa muda mrefu. Ndugu unadhani hapo anazungumziwa nani?😂
 
Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.
Labda kwa msaada wa uelewa wako mdogo, hakuna vita isiyokuwa na mshirika yaan huyu Iran hapigani vita na Israel ukadhani yuko peke hakuna hicho kitu. Wale Hamas, Hezbollah, Houths wote mshirika wao alikua Iran hilo liko wazi labda kama hujui omba ufahamishwe. Iran mshirika wake Russia.
 
Nina uhakika toka uzaliwa haukuwahi kumuona Netanyahu akiwa katika muonekano huu, lakini hii vita ya week 1 imemfanya Netanyahu apururuke namna hii kwa sababu ya kukosa kula, kuoga na kulala.
Ndugu babu wa miaka 75+ unapenda muonekano wake uweje? Mbona mnaanza kuwa na akili za kitoto sasa.
 
Kuna kitu najiuliza sana, hivi hawa roketi zao walisha zi pre-programme kwa kuziwekea coordinates mission critical Israel military assets na pia military industrial complex!! Inaelekea Wairan walijipanga siku nyingi for this eventuality - my OPINION.
Eeeh walijipanga mpaka kuleta propaganda ya kwamba nuclear site zao walizihamisha wakati zilishapukutishwa mpaka wanasayansi wao.

Vita ni mkakati unalenga majengo mwenzako anarusha drones anapiga target muhimu.
 
Trump alichesema ni kweli kwa siku kadhaa wamerusha ballistic missiles na yamepiga majengo kadhaa lakini mwisho akasema hawatatengeneza mabomu kwa muda mrefu. Ndugu unadhani hapo anazungumziwa nani?😂
Usimlishe maneno Trump unless useme haukuelewa kingereza alichoongea. Wewe kwa akili yako unafikiri amezunguzia majengo kadhaa?
 
Labda kwa msaada wa uelewa wako mdogo, hakuna vita isiyokuwa na mshirika yaan huyu Iran hapigani vita na Israel ukadhani yuko peke hakuna hicho kitu. Wale Hamas, Hezbollah, Houths wote mshirika wao alikua Iran hilo liko wazi labda kama hujui omba ufahamishwe. Iran mshirika wake Russia.
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe. Unatunga uongo na kujidanganya mwenyewe. Aliekwambia kuwa Iran imesaidiwa na Russia ni nani? Leta facts au ushahidi, sio uzushi na uongo.

Ukiniambia kuwa Russia ndio iliomba msaada wa zile drones za Iran ili waitandike Ukraine nitakuelewa. Maana hata Marekani, na washirika wao waliwahi kusema hivyo. Ila sio kwa Russia kuisaidia Iran, sababu hiyo Russia yenyewe inahitaji msaada kutoka nje ndomaana North Korea walituma jeshi na silaha na Iran ikatuma zile ndege zao.

Ndugu usizunguke mbuyu maana haitakusaidia kitu. Ukweli ni kwamba Iran ilikuwa inapambana na nchi zaidi ya 5 pekee yake. Japo Marekani ndo iliyojitokeza wazi kuisadia straight lakini kuna nchi kama vile UK, Ufaransa na Ujerumani ambazo zenyewe zilitumika kumsaidia ulinzi wa anga ambao hata hivyo ilishindikana kuizuia Iran isiivunje vunje Israel watakavyo.
 
Ndugu babu wa miaka 75+ unapenda muonekano wake uweje? Mbona mnaanza kuwa na akili za kitoto sasa.
Kwani wakati alipovunja makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas alikuwa na umri gani. Mbona hakuwa amekondeana hivi?

Sema ukweli utakuweka huru ndugu yangu. Kabla ya vita hii ya week 1 Netanyahu hakuwa hivi, hili hata wewe mwenyewe moyoni unalijua. Sasa sijui hapa unajaribu kuhusisha umri wake na kipigo kilichosababisha akonde kwa faida ya nani na ili upate nini cha maana kutoka kwake!
 
Wewe kweli mtupu kichwani!!

Fahamu kuanzia leo, tekinolojia haikai ndani ya jengo au mashine. Tekinolojia ni maarifa yanayoishi ndani ya kichwa cha mtu. Unaposema tekinolojia ya Israel imekufa, inamaanisha watu wenye maarifa Israel wamekufa! Hapo ndipo unapoonesha upungufu wako wa uwezo wa kujua masuala ya tekinolojia. Pole sana.
 
Back
Top Bottom