Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Ni vigumu sana kuizua nafsi ya binadamu isibuni njia mbalimbali za kutafuta maendeleo. Ujamaa wa hao China na Russia ni wa kutafuta fursa zaidi huu wa kwetu ni ushenzi wa kutazamana nani ana miliki prado mpya halafu tunaangalia mshahara wake kama unamuwezesha kuinunua!.

Ni ujinga ulioanza tangu awamu ya Mwalimu Nyerere, umejaa roho mbaya ndani yake zile akili za tukose wote. Stupid mindset.
Mambo inazidi kuwa 🔥🔥

View: https://twitter.com/SalumAwadh/status/1709427232223981865?s=19
 
View: https://www.instagram.com/reel/Cyu6NxoAfbm/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
943399413.jpg
-1651731504.jpg
 
Naendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na matangazo ya benki kupiga bei nyumba yalijaa mitaani na wanunuzi hakuna sababu uchumi iliporomoka na pesa hakuna.

Aidha bei ya ardhi na nyumba ilishuka na biashara hii kiujumla ilivurugika na ikafikia mahala Ukiwa na kiwanja au nyumba kama dhamana banks zikawa zinakataa au unapewa hela kiduchu.

Ni katika awamu ile ndio Posta Mpya ilibakia magofu huku majumba mengi ya ghorofa yakikosa wapangaji nankubakia tupu.

Ujenzi wa miradi mikubwa ya makazi ulisimama mfano Kawe, Morocco Square, Kigamboni ECO Village, magorofa ya mashirika ya pensions nk, Shirika kama NHC, kampuni za ukandarasi wa majengo zilijifia.

Punde si punde Mungu akasikia kilio akamleta Rais Samia Mama wa Uchumi na Mwanamageuzi wa kweli (Reformists) akapiga chini mipango ya Kijima na Kijamaa kwenye uendeshaji wa nchi, akafungua uchumi na kurekesha Imani ya wafanyabiashara na wawekezaji hatimaye uchumi ukaanza kurejea kule kwa enzi ya Jakaya.

Sasa hivi kwa kutumia mfano mmja tuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC kimeanza tena kupata faida na kufufua miradi yake yote iliyokuwa imekwama.

Hongera sana Rais Samia wewe ndio Mama wa Uchumi unaandika historia na alama ya kudumu kwenye mioyo ya Watanzania maana kila sekta inafurahia uwepo wako.

My Take
Ogopa sana Wajamaa, ujamaa ni umaskini na Utapeli.

=====

View attachment 2707848

Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuimarisha utulivu wa kiuchumi wakati ambapo dunia ilikuwa inapitia changamoto mbalimbali ikiwemo janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), vita vya Urusi na Ukraine na mabadiliko ya tabianchi.

Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bo Li baada ya kumaliza ziara yake nchini ambapo amesema “jitihada za haraka za serikali ya Tanzania zilisaidia kudhibiti mfumuko wa bei na kulinda uchumi dhidi ya athari za vita nchini Ukraine.”

Licha ya mafanikio hiyo, taasisi hiyo imeihimiza Tanzania kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ambayo yatakuza uwezo wa Serikali katika kugharamia huduma za kijamii na kuongeza uwekezaji katika elimu, afya, maji na sekta nyingine muhimu.

Li akizungumza na wawakilishi wa sekta binafsi, asasi za kiraia na wadau wengine wa maendeleo ameeleza kuvutiwa sana na nguvu na uhai wa uchumi wa Tanzania.

Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika zenye kiwango cha chini zaidi cha mfumuko wa bei ambapo kwa miezi sita mfululizo umekuwa ukishuka kutoka asilimia 4.9 Januari hadi asilimia 3.6 Juni mwaka huu.

=======
Ujenzi wa Nyumba 560 za mradi wa Samia Housing Scheme, unaoendelea Kawe, Dsm, umefikia ghorofa ya nne kwa ujumla.

Kwa mujibu wa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo Mhandisi George Shanel, kinachoendelea hivi sasa #SHS kwa ujuma, ni usukaji wa nondo, maboksi ya kushikia zege (form work), umwagaji zege, nguzo, beam na slabs kutoka ghorofa ya tatu kwenda ya nne.

aidha, ameongeza kuwa kingine kinachoendelea ni ujenzi wa kuta za tofali kwaajili ya kutenganisha vyumba ghorofa ya pili kufuatia kukamilika kwa ghorofa ya kwanza.

Kazi nyingine inayoendelea ni Uwekaji wa mifumo ya umeme na maji ghorofa ya chini (Ground floor), upigaji wa plasta kwenye kuta za ndani ghorofa ya chini (finishing).

Mradi ulianza Oktoba 2022 unatarajiwa kuisha mapema mwakani.

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1698608211597684998?t=go0aNjSxAp7fMmfkI2qxww&s=19

Mama yuko kazini

Canadian Village Masaki

View: https://www.instagram.com/reel/Cyz075mIOS-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1735606760914735440?t=06T39LS_kI7nBjtVgfCZng&s=19
 
Habarini Wakuu!
Kwanza kabsa naomba niweke sawa kitu kimoja!
Mleta uzi upo kwenye moja ya makundi haya mawili, mosi ni chawa au mfuasi wa serikali na sera ambazo wanazifuata au pili ni mtu unayeishi pangoni.

Okay!
Hakuna ambacho kimebadilika toka JPM ameondoka! labda cha zaidi ni Royal Tour, Wamasai kutolewa maskani mwao pamoja na na DP World kuja kwenye bandari yetu! Hakuna cha zaidi hapo!
Umezungumzia suala la Reform! Je Samia amefanya reform ipi ambayo imeleta postive impact kwa wananchi haswa watanganyika maana Zanzibar wao wana Rais wao?! Naweza kuonekana kama mchonganishi ila tujiulize maswali magumu!

Juzi kati kuna shehena ya sukari imekamatwa Tanganyika ikitoka Zanzibar! Ila je unadhani kwanini watu wanavusha na kutorosha sukari kutoka Zanzibar ikiwa bei zipo tofauti!> Reform ndani ya nchi zinatakiwa ziwe kwa manufaa ya Wananchi ila wewe unaanza kutuletea visa na mikasa ya Ujenzi wa Nyumba 560?! Samia ameshindwa kujenga nyumba ili awahamishe watu kwenye bonde la mto Msimbazi halafu unasema kuna Nyumba 560 yaani utadhani ndo tumemaliza kutoa suluhu za wananchi!
Mkuu hii nchi ina watu wenye uelewa wa mambo sio kukariri Mkuu!
 
Au siyo? 😂😂

View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1744677037158109581?t=2dDBaoPUE21YD0r-yJn5Dw&s=19

View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1744678420200505733?t=WTLxWaDZqXZPejD92rH4lA&s=19
 
vitu vyenye tija na impact kwa kila mtanzania KAMA UMEME vimetushinda tunaenda kuhangaika na vitu vya kishenzi,yaani unamlingishia almasi mtu aliye na njaa ya wiki nzima badala ya kumpa chakula ili aokoe uhai wake kwanza.Nchi ya laana
 
Back
Top Bottom