Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

Mitihani simple simple mnapewa nyinyi mnakula one one za kibwete elimu yenu imerahisishwa acha kukaza fuvu
 
Sasa kinakuogopesha nn hapo
 
Mitihani simple simple mnapewa nyinyi mnakula one one za kibwete elimu yenu imerahisishwa acha kukaza fuvu
Kwa utafiti niliofanya mtihani uliokuwa mgumu ni wa advance 2013 tu kwa miaka hii kuanzia 2000..


Usidhani watu hawajawahi kuiona hiyo mitihani ya zamani..ipo na ukiwapa hawa madogo kama hiyo hizo one za tatu zitakuwa ni za kumwaga sana.

Tuache kuwaonea wivu hawa madogo wakipiga hizo one ambazo sisi tulishindwa kuzipiga kipindi chetu kwa wingi huu..
 
Oya Mimi naelewa ninachokisema usinione km nabwabwaja naelewa kila kitu ndio maana nasema mwanafunzi kipindi hiki asipokula one ni uzembe wake na akilamba zero basi huyo ni zaidi ya zero
 

Zama hizi za youtube tutorials, tik tok na quora. Usipofaulu wewe ni bogas kabisa
 
Muhas competition matters. Kama kakosa MD mwambie achague kozi zingine zingine halafu akipata selection atabadilisha kozi. Uzuri muhas kozi zote zipo sokoni
 
Hii comment iwekwe kwenye mtaala mpya wa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…