Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

Hapana , mkuu nakukatalia Sana , maana hata past papers za miaka ya 2010 tunaona zilikuwa simple, unakuta mtihani una maswali 10 eti uchague matano halafu yote ni content based sio competent based, saizi maswali sita unachagua matano halafu ni competency yaani.
Mitihani simple simple mnapewa nyinyi mnakula one one za kibwete elimu yenu imerahisishwa acha kukaza fuvu
 
Wakuu!

Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!

Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Sasa kinakuogopesha nn hapo
 
Mitihani simple simple mnapewa nyinyi mnakula one one za kibwete elimu yenu imerahisishwa acha kukaza fuvu
Kwa utafiti niliofanya mtihani uliokuwa mgumu ni wa advance 2013 tu kwa miaka hii kuanzia 2000..

Usidhani watu hawajawahi kuiona hiyo mitihani ya zamani..ipo na ukiwapa hawa madogo kama hiyo hizo one za tatu zitakuwa ni za kumwaga sana.

Tuache kuwaonea wivu hawa madogo wakipiga hizo one ambazo sisi tulishindwa kuzipiga kipindi chetu kwa wingi huu..
 
Oya Mimi naelewa ninachokisema usinione km nabwabwaja naelewa kila kitu ndio maana nasema mwanafunzi kipindi hiki asipokula one ni uzembe wake na akilamba zero basi huyo ni zaidi ya zero
 
Kwa utafiti niliofanya mtihani uliokuwa mgumu ni wa advance 2013 tu kwa miaka hii kuanzia 2000..

Usidhani watu hawajawahi kuiona hiyo mitihani ya zamani..ipo na ukiwapa hawa madogo kama hiyo hizo one za tatu zitakuwa ni za kumwaga sana.

Tuache kuwaonea wivu hawa madogo wakipiga hizo one ambazo sisi tulishindwa kuzipiga kipindi chetu kwa wingi huu..

Zama hizi za youtube tutorials, tik tok na quora. Usipofaulu wewe ni bogas kabisa
 
Wakuu!

Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!

Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Muhas competition matters. Kama kakosa MD mwambie achague kozi zingine zingine halafu akipata selection atabadilisha kozi. Uzuri muhas kozi zote zipo sokoni
 
Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.

Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.

MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking

MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas

University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.

Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.

Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.

Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
Hii comment iwekwe kwenye mtaala mpya wa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom