Kisinda aliondoka akiwa bado na mkataba na Yanga, hata Nonda.
Nimekuuliza ya Kibu unaruruka,Kibu kwa mujibu wa meneja wake,alisema klabu zilizokuwa zinamtaka,zikituma offer mnazichunia bila kumwambia mchezaji na tena club nyingi tuu.Wale Wasweden walimfuata Kibu Instagram na kumwomba kwa ajili ya majaribio na walimwambia walishatuma barua kibao hamzijibu, mpaka mchezaji akatoroka kwenda kufanya majaribio Ufaransa. SASA HII YA KIBU NYIE MNAITAJE au sio roho mbaya.
Maana nyie mmembania mpaka sasa mnaye, vipi huyu Kibu hamtaki nae akue au bado mnamlea?