Self-Contained Houses: Kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately"? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?

Self-Contained Houses: Kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately"? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?

Shimo labda liwe dogo. Lakini pia ukitaka usipate usumbufu wa choo kujaa, tenga shimo lako yawe mawili (two in one), moja liwe la kupotezea maji.
Sheria ya maji taka inasema mashimo yawe matatu la kwanza kupokea uchafu la pili kuchuja kinyesi na la mwisho kupokea maji ila technology hipo so advance shimo moja unaweza pata hayo yote
 
Owkey, nimekupata vyema kumbe kutenganisha huduma ya choo na bafu kuwa kwenye vyumba viwili tofauti huwa ni kuzuia maji ya sabuni na kemikali nyinginezo anazozitumia binadamu kujisafishia mwili zisiingie kwenye sink la choo na kuchanganyikana na maji machafu ya kwenye chemba ili bacteria waozeshaji wasidhurike na kemikali hizo...

Pia nimeelewa kwanini hata chumba chenye choo na bafu kwa pamoja kale kasehemu ka sink huwa kanakuwa juu kidogo na sehemu nyingine ya floor huwa IPO kwa chini kidogo/pakuogea hata ukioga maji yanatoka kupitia njia ya tundu dogo lenye mfuniko kwa pale chini.....

Ahsante mtoa mada,
Hilo lina wezekana me kama plumber cha muhimu ni kuzingatia maji taka hayaingii kwenye chemba za kinyesi hii ita pelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka na ni choo Cha kuchuchumaa unaitaji uangalifu sana
 
Owkey, nimekupata vyema kumbe kutenganisha huduma ya choo na bafu kuwa kwenye vyumba viwili tofauti huwa ni kuzuia maji ya sabuni na kemikali nyinginezo anazozitumia binadamu kujisafishia mwili zisiingie kwenye sink la choo na kuchanganyikana na maji machafu ya kwenye chemba ili bacteria waozeshaji wasidhurike na kemikali hizo...
Mkuu, lakini hayo yote mwisho wa siku si yanakutana katika tank kubwa kule nje?...
 
Mkuu, leo unanipa shule moja nzuri sana. Nilikuwa sijui kama kuna chamber special kwa ajili ya taka ngumu (kinyesi) pamoja na chamber za maji ya mwilini...
Sheria ndivyo ilivyo ndio maana mtu anaona bora ajenge choo peke yake bafu peke yake kuliko kuchanganya mwisho wa siku ukaua wadudu kama mende na bacteria kupelekea kujaa haraka kwa choo cha kukaa haina shida ni easy kutenganisha mifumo ukiwa unaoga maji haya wezi kuingia kwenye choo ila technology ime advance unaweza kununua bacteriaambao wana mengeya kinyesi kwa haraka sana
 
Nieleweshe, maana naona umuhimu wa bafu na choo kuwa separate ni ili kuwe na mgawanyo wa matumizi hasa ikiwa wakazi wapo zaidi ya mmoja ila kama mkazi ni mmoja bafu na choo kuwa pamoja sioni shida hapo
Shida zipo ukichanganya bafu na choo. Maji ya bafuni yana sabuni ambayo huuwa bacteria wanaobadirisha haja kubwa kuwa maji. Ndio maana kuna tank 2, ya pembe 4 na ya mduara.
 
ila technology ime advance unaweza kununua bacteriaambao wana mengeya kinyesi kwa haraka sana
Hahahahahaaaa, mkuu kuna kununua bacteria aisee? Hawa bacteria wanauzwa wapi mzee baba? yna2 kuna somo moja zuri sana huku linakupita...
 
Kwa nyumba za biashara tunajenga choo na bafu kuokoa nafasi. Tena sikuhizi mabafu ya cubicle ya mchina yametuokoa kweli 150 cm2 inatosha choo, sink la kunawa mikono na bafu.
hzo bafu za cubicle ndo zkoje, kapicha tafadhali
 
Sheria ndivyo ilivyo ndio maana mtu anaona bora ajenge choo peke yake bafu peke yake kuliko kuchanganya mwisho wa siku ukaua wadudu kama mende
Asante sana mkuu. Mpaka mende wana umuhimu katika kuchakata taka ngumu. Ila sisi tukiwaona huwa tunawaua tu mkuu...
 
Shida zipo ukichanganya bafu na choo. Maji ya bafuni yana sabuni ambayo huuwa bacteria wanaobadirisha haja kubwa kuwa maji. Ndio maana kuna tank 2, ya pembe 4 na ya mduara.
Sawa mkuu nimekuelewa, ila naona huku kwetu chamber huwa ni moja hiyo hiyo Inapokea maji wa sabuni, taka nk... Ila leo nimejifunza kitu
 
Kwa ujenzi wa kisasa una weka chumba kimoja kwa taka za ndani ya mwili kinyesi na mkojo na za nje kuoga kupiga mswaki n.k angalizo kama hauna hela za kutosha ni bora ukajenga kwa kutenganisha kwa sababu maji ya taka ya nje mwili na manisha yenye sabuni na kemikali kama shampool zina weza kuingia kwenye sinki la choo na kupelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka ni hayo tu
hii nayo point
 
Kwanini hilo bafu pia lisiwe na choo? Huu ndio msingi mkuu wa swali langu.
Hebu jaribu kuwa mtulivu kwenye kuelewa hoja. Umejibiwa akija mama mkwe ameenda chooni na wewe unataka ukaoge uende kazini utamgongea umwambie toka mama nataka kuoga??? Halafu jiulize kama nyumba ina watu 8 au 10 na watoto itakuwaje???
 
Kwa ujenzi wa kisasa una weka chumba kimoja kwa taka za ndani ya mwili kinyesi na mkojo na za nje kuoga kupiga mswaki n.k angalizo kama hauna hela za kutosha ni bora ukajenga kwa kutenganisha kwa sababu maji ya taka ya nje mwili na manisha yenye sabuni na kemikali kama shampool zina weza kuingia kwenye sinki la choo na kupelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka ni hayo tu
Good point but kule nje yale mashimo ya choo (septic na soak away pit) ya mviringo na lile la mstatili mbona yanapokea uchavu wote wa chooni na bafuni?
 
Choo kina kina mfumo maalum hivi vyoo vya kuchuchumaa ni mtihani sana vina itaji mfumo wa kutenganisha na maji taka ya nje ya mwili kwa umakini sana cha kukaa hakina shida ni easy sana so yote kwa yote ni kuzingatia maji ya nje ya mwili aya ingii kwenye chemba za kinyesi
Kwa hiyo kule nje inabidi uwe na mashimo ya aina mbili???
 
Hilo lina wezekana me kama plumber cha muhimu ni kuzingatia maji taka hayaingii kwenye chemba za kinyesi hii ita pelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka na ni choo Cha kuchuchumaa unaitaji uangalifu sana
Hayo maji taka hilo nje yataenda chemba au shimo lipi?
 
Mkuu, leo unanipa shule moja nzuri sana. Nilikuwa sijui kama kuna chamber special kwa ajili ya taka ngumu (kinyesi) pamoja na chamber za maji ya mwilini...
Sasa mjeshi kwa hiyo hujui kwamba kule nje kuna mashimo 2? La mstatili na lile la mviringo? Au septic tank and soak away pit??
 
Back
Top Bottom