Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Sheria ya maji taka inasema mashimo yawe matatu la kwanza kupokea uchafu la pili kuchuja kinyesi na la mwisho kupokea maji ila technology hipo so advance shimo moja unaweza pata hayo yoteShimo labda liwe dogo. Lakini pia ukitaka usipate usumbufu wa choo kujaa, tenga shimo lako yawe mawili (two in one), moja liwe la kupotezea maji.