Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Sheria ya maji taka inasema mashimo yawe matatu la kwanza kupokea uchafu la pili kuchuja kinyesi na la mwisho kupokea maji ila technology hipo so advance shimo moja unaweza pata hayo yoteShimo labda liwe dogo. Lakini pia ukitaka usipate usumbufu wa choo kujaa, tenga shimo lako yawe mawili (two in one), moja liwe la kupotezea maji.
Hilo lina wezekana me kama plumber cha muhimu ni kuzingatia maji taka hayaingii kwenye chemba za kinyesi hii ita pelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka na ni choo Cha kuchuchumaa unaitaji uangalifu sana
Mkuu, lakini hayo yote mwisho wa siku si yanakutana katika tank kubwa kule nje?...Owkey, nimekupata vyema kumbe kutenganisha huduma ya choo na bafu kuwa kwenye vyumba viwili tofauti huwa ni kuzuia maji ya sabuni na kemikali nyinginezo anazozitumia binadamu kujisafishia mwili zisiingie kwenye sink la choo na kuchanganyikana na maji machafu ya kwenye chemba ili bacteria waozeshaji wasidhurike na kemikali hizo...
Sheria ndivyo ilivyo ndio maana mtu anaona bora ajenge choo peke yake bafu peke yake kuliko kuchanganya mwisho wa siku ukaua wadudu kama mende na bacteria kupelekea kujaa haraka kwa choo cha kukaa haina shida ni easy kutenganisha mifumo ukiwa unaoga maji haya wezi kuingia kwenye choo ila technology ime advance unaweza kununua bacteriaambao wana mengeya kinyesi kwa haraka sanaMkuu, leo unanipa shule moja nzuri sana. Nilikuwa sijui kama kuna chamber special kwa ajili ya taka ngumu (kinyesi) pamoja na chamber za maji ya mwilini...
Shida zipo ukichanganya bafu na choo. Maji ya bafuni yana sabuni ambayo huuwa bacteria wanaobadirisha haja kubwa kuwa maji. Ndio maana kuna tank 2, ya pembe 4 na ya mduara.Nieleweshe, maana naona umuhimu wa bafu na choo kuwa separate ni ili kuwe na mgawanyo wa matumizi hasa ikiwa wakazi wapo zaidi ya mmoja ila kama mkazi ni mmoja bafu na choo kuwa pamoja sioni shida hapo
Kwa nje una tenganisha c maji taka nje ya mwili yana kutana na sink la jikoni na beseni la kunawia yana kuwa na chemba lakeMkuu, lakini hayo yote mwisho wa siku si yanakutana katika tank kubwa kule nje?...
hzo bafu za cubicle ndo zkoje, kapicha tafadhaliKwa nyumba za biashara tunajenga choo na bafu kuokoa nafasi. Tena sikuhizi mabafu ya cubicle ya mchina yametuokoa kweli 150 cm2 inatosha choo, sink la kunawa mikono na bafu.
Asante sana mkuu. Mpaka mende wana umuhimu katika kuchakata taka ngumu. Ila sisi tukiwaona huwa tunawaua tu mkuu...Sheria ndivyo ilivyo ndio maana mtu anaona bora ajenge choo peke yake bafu peke yake kuliko kuchanganya mwisho wa siku ukaua wadudu kama mende
Sawa mkuu nimekuelewa, ila naona huku kwetu chamber huwa ni moja hiyo hiyo Inapokea maji wa sabuni, taka nk... Ila leo nimejifunza kituShida zipo ukichanganya bafu na choo. Maji ya bafuni yana sabuni ambayo huuwa bacteria wanaobadirisha haja kubwa kuwa maji. Ndio maana kuna tank 2, ya pembe 4 na ya mduara.
Yanakutana baada ya kinyesi kumeng'enywa kwenye tank la pembe 4 ambalo kwa ndani lina sehemu 2 .Kwa nje una tenganisha c maji taka nje ya mwili yana kutana na sink la jikoni na beseni la kunawia yana kuwa na chemba lake
hii nayo pointKwa ujenzi wa kisasa una weka chumba kimoja kwa taka za ndani ya mwili kinyesi na mkojo na za nje kuoga kupiga mswaki n.k angalizo kama hauna hela za kutosha ni bora ukajenga kwa kutenganisha kwa sababu maji ya taka ya nje mwili na manisha yenye sabuni na kemikali kama shampool zina weza kuingia kwenye sinki la choo na kupelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka ni hayo tu
Elimu haina mwisho, kila siku ni darasani.Sawa mkuu nimekuelewa, ila naona huku kwetu chamber huwa ni moja hiyo hiyo Inapokea maji wa sabuni, taka nk... Ila leo nimejifunza kitu
Kweli Kabisa watu wangekuwa wana elimu na mifumo ya maji taka vyoo visinge jaa na kuwa kero kubwa ki afyaYanakutana baada ya kinyesi kumeng'enywa kwenye tank la pembe 4 ambalo kwa ndani lina sehemu 2 .
Hebu jaribu kuwa mtulivu kwenye kuelewa hoja. Umejibiwa akija mama mkwe ameenda chooni na wewe unataka ukaoge uende kazini utamgongea umwambie toka mama nataka kuoga??? Halafu jiulize kama nyumba ina watu 8 au 10 na watoto itakuwaje???Kwanini hilo bafu pia lisiwe na choo? Huu ndio msingi mkuu wa swali langu.
Kutenga ni uswahili, maana kama Mwanamke inafaa akipata haja aoge kabisa, sasa unahama cumba kama vile shuleKama nafasi ipo unatenga tuu
Good point but kule nje yale mashimo ya choo (septic na soak away pit) ya mviringo na lile la mstatili mbona yanapokea uchavu wote wa chooni na bafuni?Kwa ujenzi wa kisasa una weka chumba kimoja kwa taka za ndani ya mwili kinyesi na mkojo na za nje kuoga kupiga mswaki n.k angalizo kama hauna hela za kutosha ni bora ukajenga kwa kutenganisha kwa sababu maji ya taka ya nje mwili na manisha yenye sabuni na kemikali kama shampool zina weza kuingia kwenye sinki la choo na kupelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka ni hayo tu
Kwa hiyo kule nje inabidi uwe na mashimo ya aina mbili???Choo kina kina mfumo maalum hivi vyoo vya kuchuchumaa ni mtihani sana vina itaji mfumo wa kutenganisha na maji taka ya nje ya mwili kwa umakini sana cha kukaa hakina shida ni easy sana so yote kwa yote ni kuzingatia maji ya nje ya mwili aya ingii kwenye chemba za kinyesi
Hayo maji taka hilo nje yataenda chemba au shimo lipi?Hilo lina wezekana me kama plumber cha muhimu ni kuzingatia maji taka hayaingii kwenye chemba za kinyesi hii ita pelekea kuua backteria wanao mengenya kinyesi na kupelekea choo kujaa haraka na ni choo Cha kuchuchumaa unaitaji uangalifu sana
Sasa mjeshi kwa hiyo hujui kwamba kule nje kuna mashimo 2? La mstatili na lile la mviringo? Au septic tank and soak away pit??Mkuu, leo unanipa shule moja nzuri sana. Nilikuwa sijui kama kuna chamber special kwa ajili ya taka ngumu (kinyesi) pamoja na chamber za maji ya mwilini...