Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa waache na ushamba wao, ila amini mshana hapa jukwaani anamsaada mkubwa sana kuliko wewe.
Tuwaaacheeee
 
Acha kutisha watu hapa ni chitchat hawako siasani
Ebu tumeni bana
 
Kingine hakuna mtu mwoga humu kama huyu mshana kwa upande wa kujionyesha live[emoji2][emoji2]
 
Yes ukiona hivyo ujue ushazeeka, hiyo inaaply kwangu pia.
Embu niambie kama enzi zile hapa nishatupia mapicha kama 20 hivi.
Am always around, mara nyingi kama msomaji...mara chache kama mchangiaji...
 
Umeshakuwa babu? Kuna no ya tigo nilimuwa nayo miaka na miaka sasa siku napoga akapokea mwanamke nikajua mkeo nikataja jina lako la asili napo hakuelewa nikajua tu umebadilisha no.
Hongera sana kwa kuwa kijijini huko ndo utajiri ulipo.
Am no longer using any of my oldies...Hiyo number niliiabandon like 6 or 5 years back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…