Selfika na JF: Snap it. Show it

Katupia picha ni mdada sasa ndo mtu akamchana kuwa comments zake zimekaa kibabe babe sana si zakike.
Kwani Cappuccino ni wa kike ama wa kiume?[emoji45]
Ila huku kujua jinsia ya mtu ni ngumu kama hajatumia jina la kuonesha jinsia yake,ama labda ufatilie comments zake
 
Sidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...

Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...hivyo ndio huweza julikana na hata ukivijua pia sio rahisi kumjua muhusika...

Kuwa real humu ni mistake

Next time nitajitahidi nisioneshe the real side of me

Sure thing...

Ila honestly jeiefu ya sasa ndio ipo unreal, you know back then we used to gather up and sometimes kufanya viparty vya hapa na pale...

Wakati mwingine hata kufanya roadtrips...
 
Kwani Cappuccino ni wa kike ama wa kiume?[emoji45]
Ila huku kujua jinsia ya mtu ni ngumu kama hajatumia jina la kuonesha jinsia yake,ama labda ufatilie comments zake
[emoji23][emoji23] mie mbona huu mtandao siutumii sana na hata nikija Mara nyingi napita kimya, yule mkaka ni muongo pengine aseme labda jina linamchanganya.

Nikupe kazi isiyokuwa na malipo, kafanye kupitia comments zangu umletee feedback Cresida
 
Members wa hapa ni wa MMU na chit chat.
Babuu usitutishe
 
Aaaa capuccino weee try to be feminine ha ha ha ha nimecheka sana
[emoji23][emoji23] mie mbona huu mtandao siutumii sana na hata nikija Mara nyingi napita kimya, yule mkaka ni muongo pengine aseme labda jina linamchanganya.

Nikupe kazi isiyokuwa na malipo, kafanye kupitia comments zangu umletee feedback Cresida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…