amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Katupia picha ni mdada sasa ndo mtu akamchana kuwa comments zake zimekaa kibabe babe sana si zakike.
Kwani Cappuccino ni wa kike ama wa kiume?[emoji45]
Ila huku kujua jinsia ya mtu ni ngumu kama hajatumia jina la kuonesha jinsia yake,ama labda ufatilie comments zake