Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena nyie wanaume ndo rahisi sana sura nzuri kwenu sio big deal sasa sie ni balaa, package iwepo, camera nzuri, pozi kali na background kali

Pics nyingi humu ni uwe na karangi, ngozi nyororo, ushape flani hivi vinginevyo hata like hupati sasa kukuta ke anapackage yote hiyo ni nadra sana

Bora tuendelee kubana huku nyuma ya keyboard

Naona umeamua kunichukua maelezo nijichanganye hapa na msura wangu mpana mbaya afu mixer account haina kitu afu niweke hapa bado sijawa convinced kabisa

Sasa wewe katika ulivyo taja hapo juu huwezi kosa vyote

All in All it’s about Confidence Tu
 
Hahhhaa cole mi sikushawishi hata ujipost, nakuelezea tu vile pics zetu wadada zinavyohitaji mambo mengi
 
Kuzaa hakumalizi ukisu, usiniangushe
[emoji122][emoji122][emoji122]ni kweli sijui inakuwaje nataka kukuangusha akati kabla sijazaa nilikuwa sina hata shepu.
Nimezaa mtoto nikawa mashaallah.
Nisamehe.
 
Back
Top Bottom