Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema wewe ni mbishi sana, msimamo ni kitu kizuri.

Kwenye logic kuna principal ya ukianza na uongo ukamaliza na uongo, conclusion ni ukweli, i.e False then False = True.
Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi. [emoji23]

Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tena nyie wanaume ndo rahisi sana sura nzuri kwenu sio big deal sasa sie ni balaa, package iwepo, camera nzuri, pozi kali na background kali

Pics nyingi humu ni uwe na karangi, ngozi nyororo, ushape flani hivi vinginevyo hata like hupati sasa kukuta ke anapackage yote hiyo ni nadra sana

Bora tuendelee kubana huku nyuma ya keyboard
Jiamini, nakukubali sana ujue
 
Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi. [emoji23]

Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kwetu mnabishana, halafu mmoja akitaka kwenda mahali anamwomba mtu amshikie ubishi, aliyebaki ameshika ubishi ni mbishi kuliko mwenye ubishi. Na mwenye ubishi akija anaendeleza pale alipoishia yule aliyemshikia.
 
Back
Top Bottom