Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi. [emoji23]Sema wewe ni mbishi sana, msimamo ni kitu kizuri.
Kwenye logic kuna principal ya ukianza na uongo ukamaliza na uongo, conclusion ni ukweli, i.e False then False = True.
Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]