Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mwanafunzi tulimchapa hadi tukaona tuache tuu.
.
Hajaandika kwenye madaftari yake halafu analazimisha ameandika.
Onesha alipoandika, anafungua daftari mwanzo hadi mwisho kurasa moja moja anafungua hadi ambazo hazijaandikwa.
Anatafuta alipoandika , ikumbukwe ni notes kama za mwezi ndio anazitafuta hivo bora ingekuwa siku moja ingeeleweka kachanganya kurasa.
Hadi Leo na kesho msimamo wake ni "niliandika kweli eti sijui zimeenda wapi".
Sijui ni kabila gani yule mtoto.
[emoji3][emoji3]
 
Uzi unakimbia sana,ila ombi ni lile lile. Mnaoweka picha naomba msiwe mna zifuta ili tupate pakurejea.
 
Jitahidi tahidi sana tuwe tunakuona na kwenye comments jitahidi pia uwe unamwaga madini tutakuelewa tu, ahsante kwa picha kaka.

Noted:
Mara nyingi nipo kule jamii intelligence na jukwaa la Biashara na Ujasiriamali.
Naomba yako pm
 
Back
Top Bottom