Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi bado najiona nipo sawa maana wanaume wamekubaliana namimi ila nyie wanawake wenzie ndio mmekataa.... Kwahiyo ni wivu umewajaa

ingekuwa wanaume wamekataa labda ningeona kiasi fulani sipo sawa
Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.
Usiwajumuishe wengine, kuna Mkokaa hapa anapenda chata nyeusi sana 😂

Ila kaka umeyumba, we hujamsifia ila umelinganisha mguu na viwili wili ya watu kweli? Ni heri hata ungesema katika picha zote zilizotumwa nimevutiwa na hii.
 
Kila mtu ana taste yake wasisemee taste za wengine, hicho ndicho wanachanganya eti kipande cha mguu kimefunika pics zote za viwiliwili vya wadada humu,,,, hata wakisema naona wivu ila hapana nimekataa
Ndio maana kuna wanene na mwembamba.
Warefu na wafupi.
Weusi na weupe.
Sio kusema mtu mnene mweupe ni bora kuliko mtu mwembamba mweusi.
 
Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.
Usiwajumuishe wengine, kuna Mkokaa hapa anapenda chata nyeusi sana 😂

Ila kaka umeyumba, we hujamsifia ila umelinganisha mguu na viwili wili ya watu kweli? Ni heri hata ungesema katika picha zote zilizotumwa nimevutiwa na hii.

Nikajua umeniitia piacha.... wekeni picha acheni kuchat
 
Mimi bado najiona nipo sawa maana wanaume wamekubaliana namimi ila nyie wanawake wenzie ndio mmekataa.... Kwahiyo ni wivu umewajaa

ingekuwa wanaume wamekataa labda ningeona kiasi fulani sipo sawa
Wamekubaliana na wewe kwamba hiyo miguu ni bora kuliko picha zote kwenye huu Uzi.?
Hamna mwanaume mwenye akili aliokubaliana na wewe kwenye hilo zaidi ya wajinga wenzako.
 
Hivi viatu vyote umevaa leo?

IMG_9844.JPG

Hapana mkuu hiki nimepiga leo yeezy boost, hizo ni collection tuu

Post iliyopita

Picha ya kwanza ni mda umepita wingsman mbezi beach

Picha ya pili ni etina bar near mliman city

Picha ya tatu ofisini kwangu

Picha ya nne ni capetown fish market

Na hii ya sasa hivi ni hapa ARISA ardhi university mda huu
 
Back
Top Bottom