Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hilo ndo la msingi potezea tu.
Na hii ndo shida ya watz wengi mtandaoni hawawezi sifia kitu mpaka walinganishe na kuunda teams hawawezi msifia Ali kiba mpaka wamlinganishe na mwanamusic mwingine.
Halafu unakuta mtu wa namna hiyo ameenda shule[emoji28][emoji28][emoji28].
Kusifia kitu sio lazima ukishushe kitu kingine.
 
Wote ni wazuri kaka scorpion me mzuri sana lakini haikuwa busara kulinganisha na picha zingine na kuziponda za wengine, haikuwa poa kaka.
Ungeomba tu msamaha yakaisha hapo umechemeka.
[emoji23][emoji23] Dah sijaelewa unachoshindania

Unataka nitengue kauli ama ni ugomvi unataka au unataka nikuambie nawewe ni mzuri?
 
Nakubali.
Ila nisichokubaliana nacho ni kusema kila mtu ana mtazamo wake huku anasema kwa kila mwanaume kamili lazima akubaliane nae kwamba miguu ile imefunika picha zote za wadada huku.
Kwahiyo wasiokubaliana nae sio wanaume kamili? Kumbuka kila mtu ana mtazamo wake wa namna anavomuona mtu.
.
Kwa mwanaume mwenye akili hawezi kusifia huku akofanya comparison za kijinga hivyo.
Mimi bado najiona nipo sawa maana wanaume wamekubaliana namimi ila nyie wanawake wenzie ndio mmekataa.... Kwahiyo ni wivu umewajaa


ingekuwa wanaume wamekataa labda ningeona kiasi fulani sipo sawa
 
We kaka nimekuuliza kule juu kuna shindano gani? Ukasema hamna shindano saiv umekiri kutuweka kwenye mashindano!!! Haya mheshimiwa jaji
Nimemuuliza huyo jirani anachoshindania ni nini? Maana anaonekana ana hasira sana.. Kwaiyo nataka nijue anacho kihitaji ili nimridhishe
 
Back
Top Bottom