Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahahaha
Hebu hukooo, uwe unanisalimia
Kumbe ukubwa unaangalia nini? Mie kikongwe eti!!!

Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu kijana mmoja akanisalimia "shikamoo madam" rafiki akaniuliza "mbona huyu mzee anakusalimia shikamoo"? Nikamjibu ni mwanafunzi wangu huyo, hakuamini. Hivyo usione ukadhani, nimekula chumvi ya kutosha.
 
Hakuna chumvi hapo jamani, acha ubishi kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…