Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu uzi utafika mahali watu wataondoa woga na kujiachia kwa raha zao... Hapo ndio kutanoga sasa
IMG_20190929_174904.jpeg
 
Hahahahaha
Hebu hukooo, uwe unanisalimia
Kumbe ukubwa unaangalia nini? Mie kikongwe eti!!!

Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu kijana mmoja akanisalimia "shikamoo madam" rafiki akaniuliza "mbona huyu mzee anakusalimia shikamoo"? Nikamjibu ni mwanafunzi wangu huyo, hakuamini. Hivyo usione ukadhani, nimekula chumvi ya kutosha.
 
Hakuna chumvi hapo jamani, acha ubishi kabisaa
 
Back
Top Bottom