Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi web browser huwa naona inanichosha kutumia,japo kweli Ni nzuri.

App nimei update lakini wapi [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sio kweli.... mbona page zipo namba zipo labda tatizo ni wewe tu..

Ilo la notification upo sahihi.
 
Mimi web browser huwa naona inanichosha kutumia,japo kweli Ni nzuri.

App nimei update lakini wapi [emoji24][emoji24][emoji24]
Yeah mimi mwenyewe sababu ya kutotumia browser ni vile naona inanichosha tu hakuna sababu nyingine ila huwa najiuliza kwanini yale yote yaliyoko kwenye browser wasiyaweke na kwenye app tu
 
Sasa hapa umuulize Kaka yako max..wewe si anakubadilishiaga majina haraka[emoji2][emoji2][emoji2]
Mwambie kwanini asiyaweke huku Yale mazaga yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…