Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah[emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?
Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebekaYaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]Alienda PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu alipitwa na Basi stand
Mimi yako sijaiona[emoji134][emoji134][emoji134]Una hakika sikuwepo? Nilikuwa napita kimya kimya. Ile nataka nikuquote nikwambie ukaifuta. Ila niiiona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara
Embu simama tuone
Sifuti, nahisi kuna hujuma unanifanyia zinapotea ktk mazingira ya kutatanisha.[emoji23][emoji23][emoji23]wee si unafuta?
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]kwanza sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si unaona sasa[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah[emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]
Shukrani mpendwaWewe kafanye tu sitoifuta, utaikuta.
Wacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka
Chambua taratibu utaikuta[emoji23][emoji23]Page namba ngapi nakajionee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi yako sijaiona[emoji134][emoji134][emoji134]
Fanya unitumie Basi sister[emoji7][emoji7]
Nakazia 😂😂 ni bora wasiweke tu wanaboa bana.Hivi why mtu uweke picha na kufuta,mnatupa tabu wenzenu tunarudi nyuma kusoma comments na picha tunakuta imefutwa.
Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewaAlienda PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu alipitwa na Basi stand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]kwanza sijaiona
Unazijua pages za browser zilivyojipanga??Yap kabla ya kuja na app
Aaah wapiWacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.
Kuna watu wakifuta picha siumii kivile ila sio Atoto na Saint anne 😀😀😀😀haiwezekani yaani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara
Haya bwana.Aaah wapi