and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Mimi na umbea wapi na wapi, nyie ndio mambo yenu..We mmbea unakosaje connection nzito km hiyo?
Nilijua unayo πΉπΉ
Ila shosti katisha sana
F zoteπUlinambia una D ngapi?
Nisamehe πUnanichosha
Mmekua waoga sana kwa kila kitu ndo maana mnakataa ndoaπmbona kama mtego ila haya
SGR si ipo
Ndoa za nini na hatuna pesaππMmekua waoga sana kwa kila kitu ndo maana mnakataa ndoaπ
Wapambane na hali zaoπMe too darling ππ
Pa kuzitafuta ndio kipengele wanaishia kujifariji na kupangia watu.!! π€£
Vipi kontena jipya limeshuka umelipata?
Nuu za kwako?Wapambane na hali zaoπ
Kontena lipi tena wifi,Siku hizi napitwa na mengi humu nimekuwa mvivu kuingia Jf.
Safi za kwakoNuu za kwako?
Fake P mtu mstaarabu sana yaani sana ππ ndio maana nampenda huyu
Kabisa huyu mwezi ujao nampandisha cheo
F zoteπ
Acheni maneno kama wauza mboga tupieni picha matajiri nyie kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Ndoa za nini na hatuna pesaππ
nimeweka nyingi sana kipindi nipo new memberNa wewe uweke kuwaambia wenzie tu ππ
Kwema tuSafi za kwako
Unaenda wap sasa comrade au hautaki cheoMwendo mmeumaliza Endeleeni na Faraja zenu. Sio mitaa yangu
Hali zao zenyewe zimewakimbia zimekaa pembeni zinawacheka πΉπΉWapambane na hali zaoπ
Kontena lipi tena wifi,Siku hizi napitwa na mengi humu nimekuwa mvivu kuingia Jf.
πππ wanawake wanahitaji matunzo tunakwepa majukumuMwendo mmeumaliza Endeleeni na Faraja zenu. Sio mitaa yangu
Saiv kwa Nini hauweki tajiriiiii kutoka chuga πππnimeweka nyingi sana kipindi nipo new member
kina lamomy walizifaidi mbona
Ni kipapa au chat za watu maana humu kuna Umalaya mbwaππHali zao zenyewe zimewakimbia zimekaa pembeni zinawacheka πΉπΉ
Mi mwenyewe km 4days sijaingia, jana nikaingia ili nimcheck lee si ndio nakuta watu wenye depression wanajifariji.!!
Sasa leo bana nimeketewa pdf la moto aiseee.!! Jf haipoi haiboi πππ
Tupakimbie hapa twendeni YouTube tukapate udhamini kidogoNisamehe π
Kipapa bana, mi sio wa kutumiwa chat napewaga full package πΉπΉNi kipapa au chat za watu maana humu kuna Umalaya mbwaππ
min -me twende ukaweke song kalii kuleeTupakimbie hapa twendeni YouTube tukapate udhamini kidogo