Selfika mnachati badala ya picha๐Pm nitachelewa kuiona utupie hapahapa
Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Unazuga tu! Vocha ushachukua wewe๐Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Embu tuma yako min akee nikuoneSelfika mnachati badala ya picha๐
Uliniona ukanichukulia poa situmi tena๐๐๐Embu tuma yako min akee nikuone
Wee! Tatizo ni mweupe kama papaiโบ๏ธ๐Uliniona ukanichukulia poa situmi tena๐๐๐
Hahhahaha uliangalia vibaya panya buku wewe.Wee! Tatizo ni mweupe kama papaiโบ๏ธ๐
picha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Weee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwishoMimi natumia airtel no zangu
๐คฃ๐๐picha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Nachoka kila siku kukufundisha kuandika๐Wazee na picha wapi na wap kijana๐
Njoo pm nikupe ya mwishoWeee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwisho
Futa hii nimerekebisha tayari๐๐Nachoka kila siku kukufundisha kuandika๐
Enzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka buree๐คฃ๐๐
Subiri nikufundishe utaalamu! Comment sifuti lakini angalia utaona nimekurekebishiaFuta hii nimerekebisha tayari๐๐
Nimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa ๐๐๐คฃ๐ wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe ๐๐Enzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka buree
Tajiri usitoe maelezo mengi sanaaaa, pumzikaNiliiingia Dukani angalia shelf zote sioni Konyagi nikaagiza vocha tuu,, na simu ina kifirushi cha mwezi Combo.. ingia selfika nataka niweke picha nakutana nayo.
Chai๐๐Nimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa ๐๐๐คฃ๐ wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe ๐๐