Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππNuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππNuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£
Wii mbavu zinauma mwenzio π€£π€£π€£π€£Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππ
Ujue huu ni ukweli Jf toka ianze free vocha hata mada za masimango zimepumzika πππWii mbavu zinauma mwenzio π€£π€£π€£π€£
JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji
Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure
Masimango yalikuwa yanaletwa na njaa πππUjue huu ni ukweli Jf toka ianze free vocha hata mada za masimango zimepumzika πππ
HeeeNuzulati Saint Anne nimeona Penseli kaingia anawatumia vocha za uongo πππ
Atawafanya watu wapigwe ban line zao.!!
Yani nimecheka balaaa
Wacha wafungiwe lineπNuzulati Saint Anne nimeona Penseli kaingia anawatumia vocha za uongo πππ
Atawafanya watu wapigwe ban line zao.!!
Yani nimecheka balaaa
Wanasema Wana wifi nyumbani kwao..Sasa sjui hizo vocha wanazogombania n za nnπππMnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia
Watatutambiaje sasa
Acha wapate pate vocha
Hali ni ngumu sana
Penseli atawafungia wenzie line yani nimecheka π€£π€£π€£Heee
Matajiri wa mchongo wamekuja na vocha za mchongo
Kweli mambo ni mengi π₯πππ
Penseli kanichekesha yule mtoto kimeo π€£π€£π€£Wacha wafungiwe lineπ
π€£π€£π€£ mi kucheka sitaki jamaniWanasema Wana wifi nyumbani kwao..Sasa sjui hizo vocha wanazogombania n za nnπππ
Takataka ππ
Hii Iβd ya penseli mbona kwenye ule uzi haipo.Penseli kanichekesha yule mtoto kimeo π€£π€£π€£
Kuna group alituunga wadada pm akawa anatutumia vitu vya ajabu
Anatumia jina lingine ila ni yeye ana ids nyingi huyo ila mwandiko wake tu utamjua π€£π€£π€£Hii Iβd ya penseli mbona kwenye ule uzi haipo.
πππππππWanasema Wana wifi nyumbani kwao..Sasa sjui hizo vocha wanazogombania n za nnπππ
Takataka ππ
Takataka πππππππππ
Mwananchiiiiiiiiπππππ₯°π₯°Greetings in the name of Wananchi πππππ€π€
Muwe na siku njema wapendwa
Asubuhi flani hivi imeenda poa kwanguπ, shukrani sana mwenyekitiππΌGreetings in the name of Wananchi πππππ€π€
Muwe na siku njema wapendwa
Smart anakojolea pazuri aiseeππππDaimaaa mbeleeeee πππππ€π€πͺπͺ
Kila la kheri Yangaaaπ ππππ€π€!πΊπΊπΊ
Hongera tichaGreetings in the name of Wananchi πππππ€π€
Muwe na siku njema wapendwa