Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatuchelewi kuletewa picha za gugo watu wanadeposit ila mikono hainekani na nyumba za michongo halafu kapiga fence tu, em awe anatuonyesha na ndani.!!
Matajiri ndio huwa wanamwaga vocha humu
Wote ambao tunagombania bado kuingiza vocha za bure aisee
Ndio poorest pipo for the poor by the poor
 
Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
Kuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! 🀣🀣🀣
 
Nchi ngumu hii
Matajiri wanajua uzi wa kugombania vocha za bure
Mie maskini sina habari
🀣🀣🀣 yani wanachekesha mi nikiona mtu kaniita nikienda kumjibu nakuta comments zinapandana za watu wanalilia vocha
 
Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
Hivi uzi wa vocha upo wapi?
Hii jf ya sikuhizi inanivuruga nashindwa kusoma nyuzi

Acha nikapambanie kombe na matajiri uchwara
 
Matajiri ndio huwa wanamwaga vocha humu
Wote ambao tunagombania bado kuingiza vocha za bure aisee
Ndio poorest pipo for the poor by the poor
Aisee njaa mbaya inakudhalilisha kweupe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pale wanatamani zile vocha zibadilike ziwe salio la mpesa wakatoe wapate msosi
 
Nilishtukia πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? 🀣🀣🀣
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea 🀣🀣
 
Uzi toka asubuhi uko kwenye chat juu huko ukiingia ndani watu wana uwana huko 😁😁😁
Hii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.

Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha
 
Nilijua ana akili kumbe ni poor brain...πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishampa.yake...sitaki shobo na malaya mmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? 🀣🀣🀣
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea 🀣🀣
 
Hii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.

Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha
Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom