MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbeleUza viazi sweetheart...uwakomoea ...si ndio
Ukiwashushia wao voja mm unanishushia nini sweetheart...?Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbele
Chochote utakachotakaUkiwashushia wao voja mm unanishushia nini sweetheart...?
Weeeπ₯°π₯° kweliChochote utakachotaka
Baby wewe taja tu ,nipige hesabu kabisa maana gunia Mia mbili najiona nikipotea kabisa kijijini mpaka hela ikiisha ndiyo nitarudi hapaWeeeπ₯°π₯° kweli
unavichuchu vizuriπππππππππGreetings in the name of Wananchi πππππ€π€
Muwe na siku njema wapendwa
Wewe mahonda huyu ni wewe?Daimaaa mbeleeeee πππππ€π€πͺπͺ
Kila la kheri Yangaaaπ ππππ€π€!πΊπΊπΊ
Tukazurule wananchi[emoji169][emoji172]
Hiyo boyfriend shoes ya moto nkamu πTukazurule wananchiππ
π€£π€£π€£ penseli hakui.Pedeshee penseli
Acha alock line za matajiri mchongomaππππ
Hapana sio mimiWewe mahonda huyu ni wewe?
Mwehh sema kandambili asee chuchu wanazo vibinti vibichiunavichuchu vizuriπππππππππ
Hiyo boyfriend shoes ya moto nkamu π
Unyama huo mwaisa πππHiki kiatu Kuna dada mwingine naye alivyokiona tu
Akakipenda sana akataka nimpe
Sema ndio kikubwa
Kumbe ndio kinaitwa hivyo?π
Mie mshamba hata sijui
Mie sijui,Kuna dogo anauza viatu mtumba,anawahi saa 10 karume kuchagua,alivyokiona akanichukulia nikampa 10 tu.
Kumbe!Unyama huo mwaisa πππ
Hiyo boyfriend shoe yenyewe.!!
Vimba nkamu.!Kumbe!
Acha nianze kutamba nacho
Vimba nkamu.!
Mwanakondoo ameshindaπ
Nkamu unapenda kujifanya wa kuja kumbe unatuchora.!! πππSema Mimi sijui mambo ya swagaπ
Kumbe Nina kiatu kipo kwenye trend na sijui